johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ndio maana hsta kuandama mnaandamania mioyoni mwenu na sio barabarani. Maskini Lissu hakulijua hili.Mapenzi ya wa na CHADEMA kwa chama Chao yako ndani ya moyo, wakati Mapenzi ya Wana CCM kwa chama Chao yako kimaslai zaidi
Hungereni nyie mnao andamana kisayansiNdio maana hsta kuandama mnaandamania mioyoni mwenu na sio barabarani. Maskini Lissu hakulijua hili.
Sasa sijui watakua wabunge wa kupitia chama gani maana ...lakin obviously mahakama itawapa mrefusho mpaka 2025Kwa kila mtanzania aliyeenda shule hii issue ya usaliti iko wazi adhabu yake ni kufutwa membership
Watakuwa wa janga 19Sasa sijui watakua wabunge wa kupitia chama gani maana ...lakin obviously mahakama itawapa mrefusho mpaka 2025
Nimesikitika!Wewe umefurahi au umechukia?
Hahahaaaa....... Ngoja tuone!@johnthebaptist kwa kuleta uzi kama huu inaonyesha umeuona ukweli kwamba mchakato wa hawa wabunge wa viti maalumu CHADEMA haukuwa sawa na haukufuata utaratibu wa kisheria. Mengine tuwaachie walioucheza mchezo tuone wanaumaliziaje.
Upo kwani ni haki yao kutoa ya moyoni ili waipate amani ya kweliHivi kuna haja ya matamko mengine kutoka kila mkoa wakati Kamati Kuu ilishatoa tamko na kumaliza kazi?
Hadi sasa akili yako haijafunguka bado.... Subiri uone kama Mdee atakuja na hoja ya kuzungumzia huo uongozi ambao alijaribu kuwadanganya Watanzania kama wewe ambaye bado umeishikilia hiyo hoja. Wenzako wameshaelewa huu mchezo mchafu.Hivi ule uongozi wa chama waliokua wanaushukuru siku ya kuapishwa ni uongozi upi?
Ngoja kupambazuke[emoji41][emoji41][emoji41]
Ndo chadema imeshaparaganyika hivyo, kumfukuza mke wa makamu wenu wa urais wa chadema poyoyo wenu Salum Mwalimu mnafikiri mtabaki wamoja?Uongozi wa Chadema mkoani Mara umeunga mkono kwa kauli moja uamuzi wa kamati kuu ya chama chao wa kuwavua uanachama waliokuwa wabunge wao Esther Bulaya na Esther Matiko.
Source Ayo tv
Maendeleo hayana vyama!