Wivu tu, vile kuna nyumba ndogo kadhaa sasa itabidi zihudumiwe kwa jasho lao wenyewe na sio posho zao za Bunge.Uongozi wa Chadema mkoani Mara umeunga mkono kwa kauli moja uamuzi wa kamati kuu ya chama chao wa kuwavua uanachama waliokuwa wabunge wao Esther Bulaya na Esther Matiko.
Source Ayo tv
Maendeleo hayana vyama!
Aida naye ni viti maalumu?!Wivu tu, vile kuna nyumba ndogo kadhaa sasa itabidi zihudumiwe kwa jasho lao wenyewe na sio posho zao za Bunge.
Mbona Aidan walimruhusu akaapishwe kama uchaguzi hawautambui ? AU uchaguzi wanatambua wanaposhinda tu? Kwahiyo ruzuku pia wataigomea?
KabisaMapenzi ya wa na CHADEMA kwa chama Chao yako ndani ya moyo, wakati Mapenzi ya Wana CCM kwa chama Chao yako kimaslai zaidi
Kwani hao wa viti maalum wametokana na nini? Si ni uchaguzi huo huo uliompa Aidan ushindi?Aida naye ni viti maalumu?!
Chadema wamesema hawajateua wabunge wa viti maalumu!Kwani hao wa viti maalum wametokana na nini? Si ni uchaguzi huo huo uliompa Aidan ushindi?
Au wanapinga uchaguzi wa maeneo waliyoshindwa tu?
....Mapenzi ya Wana CCM kwa chama Chao yako TumboniMapenzi ya wa na CHADEMA kwa chama Chao yako ndani ya moyo, wakati Mapenzi ya Wana CCM kwa chama Chao yako kimaslai zaidi
Uongozi wa Chadema mkoani Mara umeunga mkono kwa kauli moja uamuzi wa kamati kuu ya chama chao wa kuwavua uanachama waliokuwa wabunge wao Esther Bulaya na Esther Matiko.
Source Ayo tv
Maendeleo hayana vyama!