Pre GE2025 CHADEMA mkoa wa Singida yamchagua Omary Toto kuwa Mwenyekiti Mpya. Katibu Mpya aliyechaguliwa aagizwa kuanza kazi mara moja!

Pre GE2025 CHADEMA mkoa wa Singida yamchagua Omary Toto kuwa Mwenyekiti Mpya. Katibu Mpya aliyechaguliwa aagizwa kuanza kazi mara moja!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Wakati sarakasi za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa zikeindelea kushika kasi, CHADEMA nao wameendelea kukisuka chama chao.

Hivi Karibuni Omary Toto amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa CHADEMA mkoa wa Singida, akipata kura 52, sawa na asilimia 59.8% ya kura 87 zilizopigwa.

Soma pia: CHADEMA Singida: Wasimamizi Wasaidizi wa uchaguzi ndio wamewawekea wagombea wa CHADEMA mapingamizi

Pia, wanaCHADEMA wamemchagua Samwel Malow kuwa Katibu wa CHADEMA mkoa wa Singida, kwa kura 56, sawa na asilimia 64.4% ambapo katika kikao hicho, Malow ameagizwa kuanza majukumu yake mara moja kama Katibu kutokana na hali ya vitu ilivyo.

 
Hawa wa Singida ndio wanaharibu Chadema, waunde chama chao
 
Back
Top Bottom