Kichwa cha hanari chajieleza. Maana kwa chama makini kabisa baada ya kuona katiba ikisiginwa basi ilikuwa ni muda muafaka wa kwenda mahakamani na kupinga kuapishwa kwao na wao kuwa wabunge.
Mbowe na Mnyika walichukulia poa na kuliona hilo tukio kama la kawaida. Na kwa sababu walishazoea sarakasi za siasa za kitapeli ni wazi kabisa wanajua A mpaka Ze. Maana kama hawakubariki wasingekubali kushikwa na kutiwa vidole machoni namna hii.
Hizi kelele mnazioibua sasa ni kupoteza muda maana walishatusua.
Mzalendo Idugund!,๐๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ