CHADEMA mmechoka, hakuna 'consistency' ya maamuzi kuhusu Wabunge 19 waliofutwa uanachama

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2020
Posts
1,809
Reaction score
1,692
WanaJf,

Salaam tena!

Mwenyekiti wa #CHADEMA, #FreemanMbowe amesema "Kuna baadhi ya vyombo vya habari vimevumisha kuwa sisi tumekubaliana kupeleka Wabunge 19 ambao hawakutokana na maamuzi yetu ya Chama. Ni uhuni na uvunjaji wa Sheria ambao unapaswa kupingwa na yeyote anayependa Haki"

Ameongeza "Jambo la Wabunge 19 linatukwaza sana na nina hakika linawakwaza Watu wengi sana. Pamoja na kuwa kesi ipo Mahakamani lakini hakuna zuio lolote linawafanya waendelee kuwa Wabunge, wale hawawakilishi Watu bali wanawakilisha Familia zao."

Noted ni kuwa majuzi mlituaminisha kwamba mgogoro umeisha sasa hii ni nini CHADEMA kueni
 
CDM ni chama makini kwa kila kitu. Tatizo wengi mno hamuwezi kusoma yanayoendelea ili kupata picha kamili.
Kama huna uwezo mzuri wa utambuzi ni ngumu mno kuelewa!
 
Eti unasemaje?
FqsHL8FXsAAc-j5.jpg

Umechoka mwenyewe.
 
WanaJf,

Salaam tena!

Mwenyekiti wa #CHADEMA, #FreemanMbowe amesema "Kuna baadhi ya vyombo vya habari vimevumisha kuwa sisi tumekubaliana kupeleka Wabunge 19 ambao hawakutokana na maamuzi yetu ya Chama. Ni uhuni na uvunjaji wa Sheria ambao unapaswa kupingwa na yeyote anayependa Haki"

Ameongeza "Jambo la Wabunge 19 linatukwaza sana na nina hakika linawakwaza Watu wengi sana. Pamoja na kuwa kesi ipo Mahakamani lakini hakuna zuio lolote linawafanya waendelee kuwa Wabunge, wale hawawakilishi Watu bali wanawakilisha Familia zao."

Noted ni kuwa majuzi mlituaminisha kwamba mgogoro umeisha sasa hii ni nini CHADEMA kueni
Mara ulalamike Posho mnayolipwa ni ndogo,mara uje na hoja za CHADEMA mbona hueleweki Kenge wewe??tafuta Pesa acha kuandika nyuzi za kijinga JF Kenge wewe
 
WanaJf,

Salaam tena!

Mwenyekiti wa #CHADEMA, #FreemanMbowe amesema "Kuna baadhi ya vyombo vya habari vimevumisha kuwa sisi tumekubaliana kupeleka Wabunge 19 ambao hawakutokana na maamuzi yetu ya Chama. Ni uhuni na uvunjaji wa Sheria ambao unapaswa kupingwa na yeyote anayependa Haki"

Ameongeza "Jambo la Wabunge 19 linatukwaza sana na nina hakika linawakwaza Watu wengi sana. Pamoja na kuwa kesi ipo Mahakamani lakini hakuna zuio lolote linawafanya waendelee kuwa Wabunge, wale hawawakilishi Watu bali wanawakilisha Familia zao."

Noted ni kuwa majuzi mlituaminisha kwamba mgogoro umeisha sasa hii ni nini CHADEMA kueni
Sukuma gang imewaauma eeeh
 
Kwani hapo kuna mgogoro? Wale 19 waiisha fukuzwa uanachama tatizo ni wanatumia fedha za walipa kodi isivyo halali mtu yeyote anastahili kukemea ufisadi
 
Once a CCM, always a CCM

Indoctrination ya CCM kwa vijana wa miaka ya 70 na 80 huwezi kuiondoa kiurahisi.

Mbowe amewahi kuwa CCM ktk ujana wake. Sasa uzeeni anarudi kulekule kwenye roots.
 
WanaJf,

Salaam tena!

Mwenyekiti wa #CHADEMA, #FreemanMbowe amesema "Kuna baadhi ya vyombo vya habari vimevumisha kuwa sisi tumekubaliana kupeleka Wabunge 19 ambao hawakutokana na maamuzi yetu ya Chama. Ni uhuni na uvunjaji wa Sheria ambao unapaswa kupingwa na yeyote anayependa Haki"

Ameongeza "Jambo la Wabunge 19 linatukwaza sana na nina hakika linawakwaza Watu wengi sana. Pamoja na kuwa kesi ipo Mahakamani lakini hakuna zuio lolote linawafanya waendelee kuwa Wabunge, wale hawawakilishi Watu bali wanawakilisha Familia zao."

Noted ni kuwa majuzi mlituaminisha kwamba mgogoro umeisha sasa hii ni nini CHADEMA kueni
Wabunge wa Mbowe
 
Back
Top Bottom