Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Mgogoro gani? Erythrocyte unamuona huyu naye ameamkia wapi sijui. mgogoro gani uliisha kati ya covid 19 na CDM?mgogoro umeisha
Halima Mdee na wenzake Ndio wameishtaki ChademaMgogoro gani? Erythrocyte unamuona huyu naye ameamkia wapi sijui. mgogoro gani uliisha kati ya covid 19 na CDM?
Mara ulalamike Posho mnayolipwa ni ndogo,mara uje na hoja za CHADEMA mbona hueleweki Kenge wewe??tafuta Pesa acha kuandika nyuzi za kijinga JF Kenge weweWanaJf,
Salaam tena!
Mwenyekiti wa #CHADEMA, #FreemanMbowe amesema "Kuna baadhi ya vyombo vya habari vimevumisha kuwa sisi tumekubaliana kupeleka Wabunge 19 ambao hawakutokana na maamuzi yetu ya Chama. Ni uhuni na uvunjaji wa Sheria ambao unapaswa kupingwa na yeyote anayependa Haki"
Ameongeza "Jambo la Wabunge 19 linatukwaza sana na nina hakika linawakwaza Watu wengi sana. Pamoja na kuwa kesi ipo Mahakamani lakini hakuna zuio lolote linawafanya waendelee kuwa Wabunge, wale hawawakilishi Watu bali wanawakilisha Familia zao."
Noted ni kuwa majuzi mlituaminisha kwamba mgogoro umeisha sasa hii ni nini CHADEMA kueni
Sukuma gang imewaauma eeehWanaJf,

Kwani hapo kuna mgogoro? Wale 19 waiisha fukuzwa uanachama tatizo ni wanatumia fedha za walipa kodi isivyo halali mtu yeyote anastahili kukemea ufisadiWanaJf,
Salaam tena!
Mwenyekiti wa #CHADEMA, #FreemanMbowe amesema "Kuna baadhi ya vyombo vya habari vimevumisha kuwa sisi tumekubaliana kupeleka Wabunge 19 ambao hawakutokana na maamuzi yetu ya Chama. Ni uhuni na uvunjaji wa Sheria ambao unapaswa kupingwa na yeyote anayependa Haki"
Ameongeza "Jambo la Wabunge 19 linatukwaza sana na nina hakika linawakwaza Watu wengi sana. Pamoja na kuwa kesi ipo Mahakamani lakini hakuna zuio lolote linawafanya waendelee kuwa Wabunge, wale hawawakilishi Watu bali wanawakilisha Familia zao."
Noted ni kuwa majuzi mlituaminisha kwamba mgogoro umeisha sasa hii ni nini CHADEMA kueni
Sukuma gang imewaauma eeeh
Alowafukuza kawarudisha - CDM acheni kujitoa ufahamu jmnKwani hapo kuna mgogoro? Wale 19 waiisha fukuzwa uanachama tatizo ni wanatumia fedha za walipa kodi isivyo halali mtu yeyote anastahili kukemea ufisadi
Hata ZITTO Jr kakucheka sanaSukuma gang imewaauma eeeh
Wabunge wa MboweWanaJf,