CHADEMA mmejipangaje na wabunge 19 wa viti maalumu kutorudi bungeni tena mwaka 2025/26?

Tatizo unaongea tu, kikatiba Baraza kuu ndilo lenye uwezo wa kuwaburudisha sio mwenyekiti. Halafu pia mahakama kuu ilibariki maamuzi ya kamati kuu kuwafukiza uanachama, ndio maana akina halima Mdee wamekata Rufaa. Soma kwanza kabla ya kuandika.
 
CDM wanacheka na Ruzuku zinazotokana na hao wabunge yaani wanajitekenya na kucheka wenyewe,Msigwa unajua utamu wa Ruzuku.
Unajua Ruzuku inapatiakanaje?. Hata Chaumma anapata Ruzuku lakini Hana mbunge.
 
Tatizo unaongea tu, kikatiba Baraza kuu ndilo lenye uwezo wa kuwaburudisha sio mwenyekiti. Halafu pia mahakama kuu ilibariki maamuzi ya kamati kuu kuwafukiza uanachama, ndio maana akina halima Mdee wamekata Rufaa. Soma kwanza kabla ya kuandika.
Bila shaka huu mchezo hujui namna unavyochezeshwa na wenye mamlaka yao.
 
Wale ni mali ya CCM, ni vizuri CCM waulizwe kama watapewa majimbo ama wanapewa tena viti maalum.
 
Umeuliza maswali muhimu sana mleta mada, lkn wasioona mbali wanakushambulia.

CCM inaweza kufanya chochote muda wowote na kupelekea haya unayoyahofia yakafanyika.
Wafanye tu. Mbona wamefanya na wameishia kufukuzana bungeni wenyewe CCM. Mambo mengine unaiachia Karma. Halafu akina Halima wamekata Rufaa mahakama ya Rufaa Ina maana maamuzi ya mahakama kuu yalibariki kamati kuu kuwafukiza, hivyo mpaka Sasa sio wanachama.
 
Tatizo watu hawafuatilii hata hukumu ya mahakama kuu. Kasomeni hukumu ile ndio mtajua kwanini akina Halima Mdee wamekata Rufaa mahakama ya Rufaa. Wale wanalindwa na huyo Spika Kilaza aitwaye.
 

Haya Majembe muhimu ili Timu ikamilike ✌️✌️✌️
 


Watagombea vipi wakati sio wanachama🙉
 
HAKUNA WATU WAJINGA KAMA WATANZANI!


Wewe unauliza CHADEMA wamejipangaje wakati unaelewa kabisa hao si wabunge wa CHADEMA na walifukuzwa tangu zamani kwenye CHAMA CHAO,Hao wanaendelea kutumia kodi Kibwena za Walipa kodi halafu wewe Unakuja kuueleza umma wa Watanzania "CHADEMA MMEJIPANGAJE"

Nilitegemea hadi muda huu ungekuja na hoja ya namna ulivyowashitaki mahakamani wabunge wasiokuwa na Chama badala yake unauliza maswali ya kipumbavu!


By the way :

TANZANIA NDO NCHI INAONGOZA KWA KUWA NA NG'OMBE WENGI BARANI AFRIKA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…