LGE2024 CHADEMA mnaenguliwa kwa sababu mnapenda kuenguliwa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mushkov

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2024
Posts
357
Reaction score
686
Kumekuwa na kelele za CHADEMA karibu Nchi nzima wakilalamika kwamba wameenguliwa kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu 2024.

Mimi naomba kuwaasa ndugu zangu CHADEMA kwamba, kama ni kulalamika mmeshalalamika sana na kama ni kulia mmelia sana.

Kungekuwa na mtu wa kuwasikiliza angekuwa alishawasikia.

Mwaka 2019 yalifanyika haya haya yanayofanyika leo. Kama kawaida mlilalamika wee lakini hakuna aliyewasikiliza.

Nashangaa sana kuona bado mpaka leo mnalalamika tu badala ya kusema kwa ujasiri na kwa kauli moja kuwa "ENOUGH IS ENOUGH"

Huu ni wakati wa kuchukua hatua madhubuti, si wakati tena wa kulia lia.

Sisi huku kwetu hakuna aliyekatwa. Tuliwaambia kwamba, atakayejaribu tu kumwengua mgombea yeyote yule:

1. Ajiandae kisaikolojia.

2. Afikirie mara tano zaidi kabla ya kumwengua Mgombea.
 
Wapi huko mkuu
 
pendekeza wafanyeje? wachukue hatua gani? wafanye uharamia gani, ujambazi gani and the like...pendekea tu.
 


Maujinga kama hayo yalitegemewa yatokee...
Alafu bado CDM wanajiita chama kikuu cha upinzani.
Wanabaki kulia lia badala ya kujitoa kabisa kwenye huo uchafuzi na kulifikisha hilo suala mahakamani!
Shame on you CDM!
 
Shida wengine mnashabikia huu ushenzi hata kujivisha vyama visivyo vyenu,ila mjue ndivyo mnachingia kuliteketeza taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…