Kumekuwa na kelele za CHADEMA karibu Nchi nzima wakilalamika kwamba wameenguliwa kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu 2024.
Mimi naomba kuwaasa ndugu zangu CHADEMA kwamba, kama ni kulalamika mmeshalalamika sana na kama ni kulia mmelia sana.
Kungekuwa na mtu wa kuwasikiliza angekuwa alishawasikia.
Mwaka 2019 yalifanyika haya haya yanayofanyika leo. Kama kawaida mlilalamika wee lakini hakuna aliyewasikiliza.
Nashangaa sana kuona bado mpaka leo mnalalamika tu badala ya kusema kwa ujasiri na kwa kauli moja kuwa "ENOUGH IS ENOUGH"
Huu ni wakati wa kuchukua hatua madhubuti, si wakati tena wa kulia lia.
Sisi huku kwetu hakuna aliyekatwa. Tuliwaambia kwamba, atakayejaribu tu kumwengua mgombea yeyote yule:
1. Ajiandae kisaikolojia.
2. Afikirie mara tano zaidi kabla ya kumwengua Mgombea.