Japhari Shabani (RIP)
R I P
- Jan 16, 2007
- 721
- 178
ongezea hapo zitto haivi chungu kimoja na Dr slaaKwani kazi anayoifanya kanda ya magharibi ni ndogo, viongozi wa Chadema wamegawana kanda za kampeni. Viongozi wote hawafuatani na mgombea urais atawakuta kwenye kanda zao, kitu ambacho ni kizuri kila sehemu iwe active wakati wote wa kampeni.
tatizo chadema ni chama chenye mpangilio mbovu, hata hivyo humuoni katika kampeni zipi?
ongezea hapo zitto haivi chungu kimoja na Dr slaa
Mkuu umepiga tapu tapu nini leo! Zitto leo amefungua Kamapeni rasmi huko Bukombe akimnadi Mgombea wa CHADEMA Prof Kahigi!
Mkuu umepiga tapu tapu nini leo! Zitto leo amefungua Kamapeni rasmi huko Bukombe akimnadi Mgombea wa CHADEMA Prof Kahigi!
ongezea hapo zitto haivi chungu kimoja na Dr slaa
Watu wa type ya kina paulss wanaorukia ku-argue bila data ni wa kuwaacha hajui leo Zitto yuko wapi na anafanya nini mradi kaona neno Zitto basi atatapika anavyojua yeye hata kama ni ushabiki but it is too low.Mkuu umepiga tapu tapu nini leo! Zitto leo amefungua Kamapeni rasmi huko Bukombe akimnadi Mgombea wa CHADEMA Prof Kahigi!
sio chuki ndugu, ni ukweli ulio wazi hata wewe unajuaKama haivi chungu kimoja na Dr. Slaa, Zitto angekuwa anaomba kura kwa ajili ya Dr. Slaa? Acha kupanda mbegu za chuki.
Mkuu yaani tatizo leni mtu akitofautiana na nyinyi basi ni mpuuziWatu wa type ya kina paulss wanaorukia ku-argue bila data ni wa kuwaacha hajui leo Zitto yuko wapi na anafanya nini mradi kaona neno Zitto basi atatapika anavyojua yeye hata kama ni ushabiki but it is too low.
sio chuki ndugu, ni ukweli ulio wazi hata wewe unajua
Mkuu yaani tatizo leni mtu akitofautiana na nyinyi basi ni mpuuzi
sio chuki ndugu, ni ukweli ulio wazi hata wewe unajua
ongezea hapo zitto haivi chungu kimoja na Dr slaa
Tofautisha kupingana kwa tofauti za kiitikadi na kukupinga kwa kusema uongo, hapa wewe unasema uongo bila kuwa na data za wapi Zitto yupo. Inawezekana ni upenzi wa kitoto tu unaokusumbua ili uonekane kwa watu na wewe umepinga. Angalia video hii na tembelea link hii Zitto na DemokrasiaMkuu yaani tatizo leni mtu akitofautiana na nyinyi basi ni mpuuzi
Unafanya makosa makubwa kufikiri kwamba Zitto hatumiki (sio kutumiwa) katika kampeni hizi. Anatumika mno!
Nimekua nikifuatilia kampeini za CHADEMA lakini kitu ambacho nimekigundua mpaka sasa CHADEMA inafanya kampeini zake na Zitto anafanya kampaini kivyakevyake ZITTO NI CHACHU CHADEMA TUITUMIE MUNGU IBARIKI TANZANIA.