VIPI BANA, KWANI MAGUFULI ANAZUNGUKA NA KIKWETE KILA SEHEMU??? Kwenye kampeni ni kama kwenye mechi, sio kila mtu acheze striker...tatizo chadema ni chama chenye mpangilio mbovu, hata hivyo humuoni katika kampeni zipi?
wewe kweli hujui usemaloongezea hapo zitto haivi chungu kimoja na Dr slaa
sijaelewa kumtumia vipi wakati anaipigia kampeni Chadema Kigoma na wagombea wengine na siku za kampeni bado zipo mbele.. nadhani kutokana na uwezo walio nao ni vizuri kuweka nguvu pale wanapoweza. Kwa mfano Zitto akifanikiwa kunyakua viti zaidi vya Chadema Kigoma atakuwa ametoa msaada mkubwa sana.. na kwa kadiri kampeni inavyoendelea nina uhakika tutaona confluence of talent ikija pamoja kuelekea kuwashtua CCM.. majemedari wote mkiwa eneo moja la mapambano mtaacha sehemu moja inapwaya.. ndio maana Petreaus yuko Afghanistani, wengine wako Iraq, wengine wako Pentagon...
tatizo chadema ni chama chenye mpangilio mbovu, hata hivyo humuoni katika kampeni zipi?
ongezea hapo zitto haivi chungu kimoja na Dr slaa
vipi bana, kwani magufuli anazunguka na kikwete kila sehemu??? Kwenye kampeni ni kama kwenye mechi, sio kila mtu acheze striker...
Nina imani kuna good reason ya zitto kuwa zaidi magharibi na magharibi wanamuhitaji zitto zaidi... Kazi anayoifanya ni nzuri sana na slaa pia anafanya kazi nzuri... Kumbuka you cant put all eggs in one basket... Kwani umemuona mbowe kila sehemu anapozunguka slaa??
Mmeshindwa ya mambo binafsi sasa mnataka kugombanisha chadema, they are smatter than that!!!
Mchungaji achana na huyo jamaa anaropoka tu. Juzi kazindua kampeni nyingine Kigoma Mjini, na nyingine kule mitaa ya Kasulu. Sasa ni kampeni zipi ambazo wanasema hashiriki?
Mkuu unamaanisha hawamtumii kwa sababu chadema ni wadini na wakabila sana! Unamaanisha hata siku za ufunguzi wa kampeni pale jangwani hakuwepo!Nimekua nikifuatilia kampeini za CHADEMA lakini kitu ambacho nimekigundua mpaka sasa CHADEMA inafanya kampeini zake na Zitto anafanya kampaini kivyakevyake ZITTO NI CHACHU CHADEMA TUITUMIE MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Kwani kazi anayoifanya kanda ya magharibi ni ndogo, viongozi wa Chadema wamegawana kanda za kampeni. Viongozi wote hawafuatani na mgombea urais atawakuta kwenye kanda zao, kitu ambacho ni kizuri kila sehemu iwe active wakati wote wa kampeni.