CHADEMA mnahitaji tangazo jipya bora la TONE TONE, hili la sasa halitafika mbali.

CHADEMA mnahitaji tangazo jipya bora la TONE TONE, hili la sasa halitafika mbali.

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Tangazo la TONE TONE la CHADEMA la sasa linaonyesha zaidi ufahari na lenye kuwakilisha mazingira ya tabaka la mjini na kishua zaidi. CHADEMA, halina msisitizo na msisimko wa wale mnayopigania au kuhitaji kutoka kwa jamii.
20250315_165337.jpg

20250315_165329.jpg
 
Halina msisimko kivipi? Msisimko ni nini? Nini kipimo cha msisimko?

Upo kwenye Idara ya fedha ya CHADEMA umeona fedha haziingii hadi useme tangazo halina msisimko?

Acheni kujifanya mnajua kutoa ushauri na kujipa umuhimu ambao hamna.

Mimi tangazo limenihamasisha nimechangia, jamaa zangu wameona wamechangia. Wewe ni nani kusema hayo?
 
Back
Top Bottom