Halina msisimko kivipi? Msisimko ni nini? Nini kipimo cha msisimko?
Upo kwenye Idara ya fedha ya CHADEMA umeona fedha haziingii hadi useme tangazo halina msisimko?
Acheni kujifanya mnajua kutoa ushauri na kujipa umuhimu ambao hamna.
Mimi tangazo limenihamasisha nimechangia, jamaa zangu wameona wamechangia. Wewe ni nani kusema hayo?