PreGE2025 CHADEMA mnapoteza Mamilioni ya FEDHA kwenye mikutano ya Hadhara, anzeni kupitisha Makapu mikutanoni Mvune Cash !!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Kwa Huu Mkutano wa Iringa Mjini, kama Makapu yangepita zaidi ya Milioni 20 ingekusanywa papo papo.

Huu utaratibu wa kuchangia Kupitia Simu, Bank , ni mzuri sana, ila unahitaji Elimu , Muda, Upatikanaji wa mtandao n.k.

Mbaya zaidi wapo Wananchinwa kawaida ,Wana CCM wenyewe ambao wanaogopa kuchangia Kwa Hofu ya kwamba Simu zao zitafuatiliwa n.k ( Kwa Hofu + Uelewa Dunia ).

Wengine wanadaiwa kwenye Simu zao, hivo akisema aweke Hela yake buku Tano achangie, anakatwa ,shwaaaa!!.

Kampeni hii pia haiwagusi wanawake Moja Kwa Moja na ambao ndio wangekua wachangiaji wazuri, Wanawake kiasili ni wagumu sana wa kutoa, kuwafanya watoentena kupitia Simu ni ngumu sana, Mwanamke ni rahisi kutoa Pesa pale ambapo anakua Hisia zake ndizo zinamuongoza Kwa wakati huo na sio Akili yake .( na wapa mfano, Mwanamke anaweza kukuchangia Hela ya Harusi Laki Moja tu , ila siku ya Harusi, zile shamrashamra zikamsisimua ukashangaa akakumwagia Notinza elfu kumi kumi za Laki Tano, kwann?? Kwa sababu tukio la Harusi limemsisimua Hisia zake kwahiyo anasahau habari zote za madeni alonayo, )

Zaidi zaidi ni Mfumo unaowalenga watu ambazo Wanamiliki Simu, na sio tu simu ,unawalenga wenye access ya internet , Jambo hili linafanya kampeni hii iwe ni kampeni maalumu Kwa wanaoishi maeneo ya MJINI, WATU WA KISASA, Kampeni hii unawalenga Vijana ambao ndio watundu wa simu, Akina Mama wachache wasomi

Hamjui Kuna watu Wana miliki simu ila wakitaka kutumia au kutoa Pesa wanasaidiwa na wengine?? Sasa ni habari gan Kwa kuchangia Kupitia Bank, Telegram?.

Nitoe Rai yangu !!.

Uanzishwe utaratibu wa Kuchangia Kupitia Makapu kwenye mikutano wakati huohuo Kampeni ya Tonetone kupitia Simu unaendeleaje.

Wakati wa Matangazo ya kuwaalika Wananchi mikutano, matangazo yawe wazi , "ewe Ndugu mwananchi ,unaombwa kufika na chochote kwaajili ya kuchangia Tonetone ".

Na uhakika hata mwenye Elfu Moja Mkononi atachangia.

Wakina Mama watachangia .

Mkutano wa Leo Iringa, CHADEMA ALIKUA ANAONDOKA NA MAMILIONI YA PESA.

ITOSHE kusema kua, ni ngumu Kwa mwenye BUKU kwenye simu kuchangia, ila huyohuyo mwenye BUKU Mkononi ni rahisi kuitoa.

Uzoefu unaonyesha, Makusanyo ya Pesa kupitia Harambee za live live Huwa ni makubwaa kuliko Makusanyo yanyopitia njianza kidijitali.

Iwafikie, na muifanyie kazi !!.
 
Umewapa zuri sana
Lakini pia kuna hali ya usalama hapo
Kuna wenye nia njema wanaweza kutoka huko polisiccm wakaja wakakwapua kapu hlf watu wenye hasira wakamuua isemwe CHADEMA ni wauwaji.
Japo naamini tone tone ya papo kwa papo ni nzuri mno kuliko hii ya simu na Lissu anaiweza sana , kiufupi Lissu akishika kapu huwa watu wanatoa hadi akiba zao.
 
Mkutano wa Leo, ulikua Mkutano ulogusa Mioyo ya wananchi Moja Kwa Moja.

Wamama wamelia Kwa MACHOZI na Kwa sauti kuu.

Imagine Mama wa namna hii, unampa Kapu achangie juhudi, kwann asiweke???.
 
Umewapa zuri sana
Lakini pia kuna hali ya usalama hapo
Kuna wenye nia njema wanaweza kutoka huko polisiccm wakaja wakakwapua kapu hlf watu wenye hasira wakamuua isemwe CHADEMA ni wauwaji.
Japo naamini tone tone ya papo kwa papo ni nzuri mno kuliko hii ya simu na Lissu anaiweza sana , kiufupi Lissu akishika kapu huwa watu wanatoa hadi akiba zao.
Hakika Mkuu, tone tone ya papo papo ,italeta mapinduzi makubwa sana Ndani ya muda mfupi kuliko hata ya Simu.

Wanawake wanakawaida ya kushindana , wee unatoa ngapi best?? Mimi natoa hii?? Mimi hii??.

Tonetone ya papo papo pia, hata Buku yako, inakupa Jeuri ya kuchangia

Jambo la Msingi, Chama kiwe kinawaandaa watu waaminifu ambao hilo ndio litakua jukumu lao .

Fikiria Nondo za Heche namna zilivyowagusa watu , alafu akuambie Kapu Hilo hapo changia , utaachaje kuchangia??.

Kuwaambia watu wachangie Kwa simu hapohapo mkutanoni ni ngumu, ukiachilia mbali sababu nlozitaja hapo juu, wengine huja mkutanoni wameacha simu wakiogopa kuibiwa.

Siasa ni Imani ilivyo sawa na Dini.

Ulipiga MTU neno la Mungu likamwingia , hapohapo anaweza kutoa Zaka na Sadaka ya Milioni Moja.
Ila huyo MTU ukimuacha arudi nyumban,Hisia zimkate , hawez kuchangia kitu .

Chama kichangamke, kijue namna ya kutumia hii Fursa.
 
Yeah ni kweli
 
Namba za kuchangia ziandikwe kwenye mabango au poster zilizopo kwenye mkutano pamoja na kuchangia cash ya moja kwa moja. CDM wawe na short term and Long term strategy
 
Nakubaliana Nawewe Mkuu.

Strategies zote mbili zikitumika ,Pesa ipo ya kutosha.
 
Kwa Huu Mkutano wa Iringa Mjini, kama Makapu yangepita zaidi ya Milioni 20 ingekusanywa papo papo.

Huu utaratibu wa kuchangia Kupitia Simu, Bank , ni mzuri sana, ila unahitaji Elimu , Muda, Upatikanaji wa mtandao n.k.

Mbaya zaidi wapo Wananchinwa kawaida ,Wana CCM wenyewe ambao wanaogopa kuchangia Kwa Hofu ya kwamba Simu zao zitafuatiliwa n.k ( Kwa Hofu + Uelewa Dunia ).

Wengine wanadaiwa kwenye Simu zao, hivo akisema aweke Hela yake buku Tano achangie, anakatwa ,shwaaaa!!.

Kampeni hii pia haiwagusi wanawake Moja Kwa Moja na ambao ndio wangekua wachangiaji wazuri, Wanawake kiasili ni wagumu sana wa kutoa, kuwafanya watoentena kupitia Simu ni ngumu sana, Mwanamke ni rahisi kutoa Pesa pale ambapo anakua Hisia zake ndizo zinamuongoza Kwa wakati huo na sio Akili yake .( na wapa mfano, Mwanamke anaweza kukuchangia Hela ya Harusi Laki Moja tu , ila siku ya Harusi, zile shamrashamra zikamsisimua ukashangaa akakumwagia Notinza elfu kumi kumi za Laki Tano, kwann?? Kwa sababu tukio la Harusi limemsisimua Hisia zake kwahiyo anasahau habari zote za madeni alonayo, )

Zaidi zaidi ni Mfumo unaowalenga watu ambazo Wanamiliki Simu, na sio tu simu ,unawalenga wenye access ya internet , Jambo hili linafanya kampeni hii iwe ni kampeni maalumu Kwa wanaoishi maeneo ya MJINI, WATU WA KISASA, Kampeni hii unawalenga Vijana ambao ndio watundu wa simu, Akina Mama wachache wasomi

Hamjui Kuna watu Wana miliki simu ila wakitaka kutumia au kutoa Pesa wanasaidiwa na wengine?? Sasa ni habari gan Kwa kuchangia Kupitia Bank, Telegram?.

Nitoe Rai yangu !!.

Uanzishwe utaratibu wa Kuchangia Kupitia Makapu kwenye mikutano wakati huohuo Kampeni ya Tonetone kupitia Simu unaendeleaje.

Wakati wa Matangazo ya kuwaalika Wananchi mikutano, matangazo yawe wazi , "ewe Ndugu mwananchi ,unaombwa kufika na chochote kwaajili ya kuchangia Tonetone ".

Na uhakika hata mwenye Elfu Moja Mkononi atachangia.

Wakina Mama watachangia .

Mkutano wa Leo Iringa, CHADEMA ALIKUA ANAONDOKA NA MAMILIONI YA PESA.

ITOSHE kusema kua, ni ngumu Kwa mwenye BUKU kwenye simu kuchangia, ila huyohuyo mwenye BUKU Mkononi ni rahisi kuitoa.

Uzoefu unaonyesha, Makusanyo ya Pesa kupitia Harambee za live live Huwa ni makubwaa kuliko Makusanyo yanyopitia njianza kidijitali.

Iwafikie, na muifanyie kazi !!.
Gentleman,
kapu la nini tena wakati kuchangia KIDIGITALI kwa mtindo wa tone tone mmegoma kuchangia pesa ya whisky na nyama kwaajili ya viongozi wa kitaifa?🐒
 
Nia ya mikutano yetu ni kutoa elimu ya No Reforms No Election na siyo kukusanya hela.
 
Gentleman,
kapu la nini tena wakati kuchangia KIDIGITALI kwa mtindo wa tone tone mmegoma kuchangia pesa ya whisky na nyama kwaajili ya viongozi wa kitaifa?🐒
Chadema inakuuma sana. Umia ya ccm ya chadema hayahitaji ushauri wako wala maneno yako ya mtafiti uchwara.
 
nasikitika wananchi wanavyotapeliwa fedha, wanavyorubuniwa na kudhulumiwa uhuru na haki zao za kikatiba za kupiga kura na vibaka wa kisiasa nchini,

inasikitisha sana,
inafedhehesha sana kwakweli :pedroP:
 
Kwa Huu Mkutano wa Iringa Mjini, kama Makapu yangepita zaidi ya Milioni 20 ingekusanywa papo papo.

Huu utaratibu wa kuchangia Kupitia Simu, Bank , ni mzuri sana, ila unahitaji Elimu , Muda, Upatikanaji wa mtandao n.k.

Mbaya zaidi wapo Wananchinwa kawaida ,Wana CCM wenyewe ambao wanaogopa kuchangia Kwa Hofu ya kwamba Simu zao zitafuatiliwa n.k ( Kwa Hofu + Uelewa Dunia ).

Wengine wanadaiwa kwenye Simu zao, hivo akisema aweke Hela yake buku Tano achangie, anakatwa ,shwaaaa!!.

Kampeni hii pia haiwagusi wanawake Moja Kwa Moja na ambao ndio wangekua wachangiaji wazuri, Wanawake kiasili ni wagumu sana wa kutoa, kuwafanya watoentena kupitia Simu ni ngumu sana, Mwanamke ni rahisi kutoa Pesa pale ambapo anakua Hisia zake ndizo zinamuongoza Kwa wakati huo na sio Akili yake .( na wapa mfano, Mwanamke anaweza kukuchangia Hela ya Harusi Laki Moja tu , ila siku ya Harusi, zile shamrashamra zikamsisimua ukashangaa akakumwagia Notinza elfu kumi kumi za Laki Tano, kwann?? Kwa sababu tukio la Harusi limemsisimua Hisia zake kwahiyo anasahau habari zote za madeni alonayo, )

Zaidi zaidi ni Mfumo unaowalenga watu ambazo Wanamiliki Simu, na sio tu simu ,unawalenga wenye access ya internet , Jambo hili linafanya kampeni hii iwe ni kampeni maalumu Kwa wanaoishi maeneo ya MJINI, WATU WA KISASA, Kampeni hii unawalenga Vijana ambao ndio watundu wa simu, Akina Mama wachache wasomi

Hamjui Kuna watu Wana miliki simu ila wakitaka kutumia au kutoa Pesa wanasaidiwa na wengine?? Sasa ni habari gan Kwa kuchangia Kupitia Bank, Telegram?.

Nitoe Rai yangu !!.

Uanzishwe utaratibu wa Kuchangia Kupitia Makapu kwenye mikutano wakati huohuo Kampeni ya Tonetone kupitia Simu unaendeleaje.

Wakati wa Matangazo ya kuwaalika Wananchi mikutano, matangazo yawe wazi , "ewe Ndugu mwananchi ,unaombwa kufika na chochote kwaajili ya kuchangia Tonetone ".

Na uhakika hata mwenye Elfu Moja Mkononi atachangia.

Wakina Mama watachangia .

Mkutano wa Leo Iringa, CHADEMA ALIKUA ANAONDOKA NA MAMILIONI YA PESA.

ITOSHE kusema kua, ni ngumu Kwa mwenye BUKU kwenye simu kuchangia, ila huyohuyo mwenye BUKU Mkononi ni rahisi kuitoa.

Uzoefu unaonyesha, Makusanyo ya Pesa kupitia Harambee za live live Huwa ni makubwaa kuliko Makusanyo yanyopitia njianza kidijitali.

Iwafikie, na muifanyie kazi !!.
Huko kwenye mikutano kuna kapu linatembea pia siyo vilaza
 
Back
Top Bottom