Hivi mpaka Leo wako wajinga wanaodanganywa kuwa Kuna mabeberu, kweli elimu yetu tunayopewa haitoshi kabisa. Siku hizi hata China wanaitegemea Ulaya na Marekani. Ndiyo maana Trump anamyumbisha mchina anapopandisha ushuru wa bidhaa kutoka China.
Hakuna mtu Wala taifa linaloweza kukukwepa mkono wa Marekani na Ulaya hapa duniani. Hata akiba yetu imehifadhiwa kwa Dolla za kiMarekani.
Mtaji mkubwa wa wanasiasa Ni ujinga wa wapiga kura. Nchi yetu sio ya kijamaa Tena.