CHADEMA mnasema nini kuhusu uraia pacha?

CHADEMA mnasema nini kuhusu uraia pacha?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Tunafahamu msimamo wa CCM kuhusu uraia pacha, diaspora, je, CHADEMA mnasemaje Kama mkishinda?
 
Chadema wanapigia chapuo uraia pacha ili wakatuuze kwa Mabeberu
 
Chadema wanapigia chapuo uraia pacha ili wakatuuze kwa Mabeberu
Hivi mpaka Leo wako wajinga wanaodanganywa kuwa Kuna mabeberu, kweli elimu yetu tunayopewa haitoshi kabisa. Siku hizi hata China wanaitegemea Ulaya na Marekani. Ndiyo maana Trump anamyumbisha mchina anapopandisha ushuru wa bidhaa kutoka China.

Hakuna mtu Wala taifa linaloweza kukukwepa mkono wa Marekani na Ulaya hapa duniani. Hata akiba yetu imehifadhiwa kwa Dolla za kiMarekani.

Mtaji mkubwa wa wanasiasa Ni ujinga wa wapiga kura. Nchi yetu sio ya kijamaa Tena.
 
Back
Top Bottom