Waziri wa Sheria Mwigulu Nchemba anatumia jina la aliyempa cheti ambaye ni Msukuma tokea shinyanga, Bashite alitumia cheti bandia mkamlinda kwa miaka 5 na sasa mnamtafutia vyeoNgoja tuone kama wananchi wenye akili watampa Lissu kura . Maana anatetea waliofoji vyeti na anataka watu wajenge kwenye hifadhi za barabara.
Bila uongo wala kuwaonea CCM tembelea SGR usikie malalamiko ya wafanyakazi ndipo utapata ushahidi huko HukoHizo 10% za kuhisi au unao ushahidi? Una uhakika pesa ya Sgr imepelekwa kwenye kampeni? Au unaharisha maneno kama umekunywa konyagi na kula bangi.
Ndio upuuzi ninao kuambia. Kujilizaliza kama watoto. Hayo unayosema una uhakika nayo? Au minyoo imechachamaa kichwani?Waziri wa Sheria Mwigulu Nchemba anatumia jina la aliyempa cheti ambaye ni Msukuma tokea shinyanga, Bashite alitumia cheti bandia mkamlinda kwa miaka 5 na sasa mnamtafutia vyeo
Na.Hili halina ubishi wowote kuwa
Chadema mnajifaragua kushiriki uchaguzi ili kuua soo. Lakini ukweli ni kwamba mnajua mnapigwa kipigo cha mbwa mtu kwenye box la kura.
Na baada ya kutambua haya mmebaki kuwa watu wa kujiliza kama mtoto anayelilia toy ili hali anajua wazazi wake hawana uwezo wa kununua. Nasema hivi sababu mnatambua fika wananchi hawana mvuto tena na chama chenu na hamkubaliki. Na sasa mmebaki.kuwa watu wa kuibua visingizio kuwa NEC inawaonea, mara Tbc wanawabania.
Kama msimamizi wa uchaguzi amemuengua mgombea wenu mtupatie sababu alizotoa na kama kuna uwezekano mfuate taratibu na kukata rufaaa. Lakini msitutishe na kutueleza eti NEC wanahatalisha amani.
Sasa hivi mmeanza kuongea pumba za kipuuzi ambazo zinawashushia heshima na kama mnabusara msinngeshiriki huu uchaguzi kabisa. Mgombea wenu anatia aibu kusema anaona barabara zinajengwa na anakubali ni barabara za kiwango kama alikokuwa anakaa Ubelgiji,lakini anasema kuna watu walibomolewa nyumba zao kupisha ujenzi na sasa wanakaa mbali na mji. Sasa yeye kama mwanasheria hajui kuwa walikuwa kwenye hifadhi ya barabara?
Anasema atawalipa fidia waliofukuzwa kwa kufoji vyeti. Yaani mnataka kutuambia anasapoti watu kufanya makosa ya jinai. Tena ambayo yapo wazi?
Kwa ufupi tu ni kuwa mwaka huu ni uchaguzi ambao Ccm inaenda kushinda kwa ulaini sana. Na hii ni sababu upinzani umekosa credibility ya kuikosoa Ccm. Maana hamna cha kuikosoa mkisimama majukwaani zaidi ya kulalama na kutoa tuhuma za kizushi.
Kama kudai NEC wanataka kuhatarisha amani na kutaka kuwaingiza watanzania mkenge ili wajiingize kwenye ghasia zisizo na kichwa wala miguu.
Bahati nzuri watanzania wameshawajua na wanawasikiliza kwa umakini na hamna atayefuata ushauri wa kipuuzi mnaoutoa.
Kazi inapigwa mchana kutwa.Bila uongo wala kuwaonea CCM tembelea SGR usikie malalamiko ya wafanyakazi ndipo utapata ushahidi huko Huko
Maovu gani? Kuwaletea watanzania maendeleo na amani?CCM itaondoka tu na wote ndani yake watajibu mashataka kwa maovu yao labda wawe wamekufa.
Ni wizi wa kura pekee unaweza kuivusha CCM, lakini uchaguzi huru na haki CCM hana chake
Kuna watu wengi sana wamepotea au kufa katika utawala huu. Kuna ufujaji umefanywa kwa siri kubwa, yatawekwa wazi yote na wahusika watawajibishwa bila huruma yoyote ile ni suala la muda tu.Maovu gani? Kuwaletea watanzania maendeleo na amani?
Hypothetical arguments. Kama wamepotea na unauhakika ni serikali nenda mahakani. Kama una uhakika ubadhirifu nenda Pccb ili hatua zichukuliwe.Kuna watu wengi sana wamepotea au kufa katika utawala huu. Kuna ufujaji umefanywa kwa siri kubwa, yatawekwa wazi yote na wahusika watawajibishwa bila huruma yoyote ile ni suala la muda tu.
Yanayoendelea kuenguliwa wapinzani yamedhihirisha wazi ubovu wa serikali na ccm. Woga wa ajabu sana na unawafikirisha watu mno, kweli ccm imening'inia kwa uzi tu.Hypothetical arguments. Kama wamepotea na unauhakika ni serikali nenda mahakani. Kama una uhakika ubadhirifu nenda Pccb ili hatua zichukuliwe.
Kateni rufaa NEC na mtuambie ni sababu zipi zimefanya waenguliwe. Sio kuleta mikwara mbuzi ya kuvuruga amani. Huyo tumbotumbo aseme kweli. Na akishindwa rufaa arudi Igunga akalime mpunga.Yanayoendelea kuenguliwa wapinzani yamedhihirisha wazi ubovu wa serikali na ccm. Woga wa ajabu sana na unawafikirisha watu mno, kweli ccm imening'inia kwa uzi tu.
Na nyie muibeNi wizi wa kura pekee unaweza kuivusha CCM, lakini uchaguzi huru na haki CCM hana chake
Hili halina ubishi wowote kuwa
Chadema mnajifaragua kushiriki uchaguzi ili kuua soo. Lakini ukweli ni kwamba mnajua mnapigwa kipigo cha mbwa mtu kwenye box la kura.
Na baada ya kutambua haya mmebaki kuwa watu wa kujiliza kama mtoto anayelilia toy ili hali anajua wazazi wake hawana uwezo wa kununua. Nasema hivi sababu mnatambua fika wananchi hawana mvuto tena na chama chenu na hamkubaliki. Na sasa mmebaki.kuwa watu wa kuibua visingizio kuwa NEC inawaonea, mara Tbc wanawabania.
Kama msimamizi wa uchaguzi amemuengua mgombea wenu mtupatie sababu alizotoa na kama kuna uwezekano mfuate taratibu na kukata rufaaa. Lakini msitutishe na kutueleza eti NEC wanahatalisha amani.
Sasa hivi mmeanza kuongea pumba za kipuuzi ambazo zinawashushia heshima na kama mnabusara msinngeshiriki huu uchaguzi kabisa. Mgombea wenu anatia aibu kusema anaona barabara zinajengwa na anakubali ni barabara za kiwango kama alikokuwa anakaa Ubelgiji,lakini anasema kuna watu walibomolewa nyumba zao kupisha ujenzi na sasa wanakaa mbali na mji. Sasa yeye kama mwanasheria hajui kuwa walikuwa kwenye hifadhi ya barabara?
Anasema atawalipa fidia waliofukuzwa kwa kufoji vyeti. Yaani mnataka kutuambia anasapoti watu kufanya makosa ya jinai. Tena ambayo yapo wazi?
Kwa ufupi tu ni kuwa mwaka huu ni uchaguzi ambao CCM inaenda kushinda kwa ulaini sana. Na hii ni sababu upinzani umekosa credibility ya kuikosoa CCM. Maana hamna cha kuikosoa mkisimama majukwaani zaidi ya kulalama na kutoa tuhuma za kizushi.
Kama kudai NEC wanataka kuhatarisha amani na kutaka kuwaingiza watanzania mkenge ili wajiingize kwenye ghasia zisizo na kichwa wala miguu.
Bahati nzuri watanzania wameshawajua na wanawasikiliza kwa umakini na hamna atayefuata ushauri wa kipuuzi mnaoutoa.
Usimsikilize chizi huyu. Nani aibe kura na kila chama kina wakala.Na nyie muibe
Chama pendwa kilipofikia!View attachment 1552385
CCM hawaendi na wakati wanatumia mbinu za kishamba sana kuwahujumu wapinzani kwa sasa CCM ni chama cha kishetani na na hovyo mno
Kelele changu weweKujaza fomu ni sehemu ya uchaguzi. Kama wagombea wenu wana akili zilizojaa minyoo unategemea nini?
Nini sasa?Kelele changu wewe