On a serious note. I am in CCM but will vote Lissu. These people needs to be seriousWatarusheje Laivu wakati wanasubiria ku edit nyumi
Uko sahihi lazima editing ifanyike nyomi ya 2015 iungwe na jukwaa kuu isome Ni nyomi current ikisikiliza current leaders walioko jukwaaniWatarusheje Laivu wakati wanasubiria ku edit nyumi
Ndio ujue chama hakiko seriousKwa hali halisi pamoja na kufungiwa kwa magazeti yenye hoja ponzani.
CHADEMA mlipaswa kuwa na vyombo vya habari walau TV na Radio kuugikia uma wa watanzania wengi wana Mabadiliko.
Wanaogopa nini kuwa live hata you tube???
Mkuu vipi fiesta ? baada ya Singida wapi next tutangulie.Uko sahihi lazima editing ifanyike nyomi ya 2015 iungwe na jukwaa kuu isome Ni nyomi current ikisikiliza current leaders walioko jukwaani
Muda huu naangalia ACT wako kila sehemu Live YouTube. Chadema hakuna kitu. Clips fupi fupii na za hovyo. Na hata Jana ilikuwa hivyo hivyo Arusha. Wiki iliyopita, Mbagala na Segerea same.
Mimi CCM lakini napenda kumuona Lissu, na ntampigia Kura.
Chadema ni chama kikubwa, badilikeni. Hakuwezi kushindwa kufanya Live Broadcast YouTube na mkiendelea hivi. CCM itatumia huu mwanya kuwavuruga na hamtaamini
Hii ni point kwa kweli.Muda huu naangalia ACT wako kila sehemu Live YouTube. Chadema hakuna kitu. Clips fupi fupii na za hovyo. Na hata Jana ilikuwa hivyo hivyo Arusha. Wiki iliyopita, Mbagala na Segerea same.
Mimi CCM lakini napenda kumuona Lissu, na ntampigia Kura.
Chadema ni chama kikubwa, badilikeni. Hakuwezi kushindwa kufanya Live Broadcast YouTube na mkiendelea hivi. CCM itatumia huu mwanya kuwavuruga na hamtaamini
Hata wakiamua kutumia kurasa za Lissu Facebook, Twitter na Instagram kuwa live yaani watawafikia watanzania wengi Sana watu tunaweka 10 GB kwenye simu kuwacheck ila wanazengua SanaChadema kuna vitu hawako serious, kwa miaka hii ambayo media zina nguvu wanashindwa kuwa na mtu specific wa media