CHADEMA mnatuangusha, mnashindwaje ‘Live Streaming’ hata YouTube? This is unacceptable

CHADEMA mnatuangusha, mnashindwaje ‘Live Streaming’ hata YouTube? This is unacceptable

Nairobian

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
873
Reaction score
2,281
Muda huu naangalia ACT-Wazalendo wako kila sehemu Live YouTube. CHADEMA hakuna kitu. Clips fupi fupii na za hovyo. Na hata Jana ilikuwa hivyo hivyo Arusha. Wiki iliyopita, Mbagala na Segerea same.

Mimi CCM lakini napenda kumuona Lissu, na ntampigia Kura.

CHADEMA ni chama kikubwa, badilikeni. Hakuwezi kushindwa kufanya Live Broadcast YouTube na mkiendelea hivi. CCM itatumia huu mwanya kuwavuruga na hamtaamini
 
Tuwachangie hela mkuu!! Kidogo chetu ndo kitawawezesha wao kufanya kampeni kiteknolojia
 
Hapo kweli CHADEMA wametuangusha sana ila kwa sisi wanachama wao hai wala hatujali hayo mambo
 
Kwa hali halisi pamoja na kufungiwa kwa magazeti yenye hoja ponzani.

CHADEMA mlipaswa kuwa na vyombo vya habari walau TV na Radio kuugikia uma wa watanzania wengi wana Mabadiliko.

Wanaogopa nini kuwa live hata you tube???
 
Ndio ujue chama hakiko serious
 
Baada ya kufulia, wamebakia kwenye kutengeneza matukio ya kujipaisha kisiasa.
 
Uko sahihi lazima editing ifanyike nyomi ya 2015 iungwe na jukwaa kuu isome Ni nyomi current ikisikiliza current leaders walioko jukwaani
Mkuu vipi fiesta ? baada ya Singida wapi next tutangulie.
 
Kama kuna kitu CHADEMA wanapigiwa kelele na wadau ni hili jambo wanafeli sana tena pakubwa TEHAMA imewapa kisogo
 
Muda huu naangalia ACT wako kila sehemu Live YouTube. Chadema hakuna kitu. Clips fupi fupii na za hovyo. Na hata Jana ilikuwa hivyo hivyo Arusha. Wiki iliyopita, Mbagala na Segerea same.

Mimi CCM lakini napenda kumuona Lissu, na ntampigia Kura.

Chadema ni chama kikubwa, badilikeni. Hakuwezi kushindwa kufanya Live Broadcast YouTube na mkiendelea hivi. CCM itatumia huu mwanya kuwavuruga na hamtaamini

Toka jana kule Arusha nimelishangaa sana jambo hili na pia leo tena huko Mwanza.
Toka covid19 kanisani kwetu ni live stream kupitia YouTube,
Inakuwa je chadema chama kubwa mnashindwa?
Sijaamini bado kama ni kweli hampo live popote.
 
Muda huu naangalia ACT wako kila sehemu Live YouTube. Chadema hakuna kitu. Clips fupi fupii na za hovyo. Na hata Jana ilikuwa hivyo hivyo Arusha. Wiki iliyopita, Mbagala na Segerea same.

Mimi CCM lakini napenda kumuona Lissu, na ntampigia Kura.

Chadema ni chama kikubwa, badilikeni. Hakuwezi kushindwa kufanya Live Broadcast YouTube na mkiendelea hivi. CCM itatumia huu mwanya kuwavuruga na hamtaamini
Hii ni point kwa kweli.
 
Chadema kuna vitu hawako serious, kwa miaka hii ambayo media zina nguvu wanashindwa kuwa na mtu specific wa media
Hata wakiamua kutumia kurasa za Lissu Facebook, Twitter na Instagram kuwa live yaani watawafikia watanzania wengi Sana watu tunaweka 10 GB kwenye simu kuwacheck ila wanazengua Sana
 
Chadema kwenye digital media wamezingua.Waboreshe hawajajipanga
 
Back
Top Bottom