CHADEMA mnawalea sana wanachama wenu wanaokengeuka, igeni CCM

Unafikiri viongozi wakubwa kama wale wanafanya hivyo bila nguvu kubwa nyuma yao. Kitu cha kwanza unaweza kuponya majeraha ya ndani baadaye labda kuwa very hard. Muhimu kujaribu soft, inclusive option first.
 
Ha ha ha ha mkuu una mambo sn. Ujue hata Mwalimu baba wa Taifa alipofariki walijitokeza watu km wewe wakidai vita vitatokea huku wakitolea mifano ya Kenya baada ya Jomo Kinyata nk. Lakini hadi leo kimya.

Ujue watu kukaa kimya siyo kwamba kwamba ndo wameridhika na kuna amani. Watu wanaandamana kimoyomoyo. By the way nimefrahi kubadilisha mawazo. Kwarezima njema.
 
kwa chadema ya sasa watamwaga vumbi wenyewe hakuna kupoteza muda hata huyo mashavu kuvimba makala hatuna muda nae na siasa zake za enzi ya TANU
 
Uko vizuri Mkuu. Karibu Pasaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…