johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Yeah naona Leo huko na free airtimeUnahangaika kama mtetea,utataga. shauri yako
Ila si mlikuwa mnasena ndio spika ajae??Zero brein anamshawishi nani?kashindwa kuwashawishi wana kigamboni,ataweza kushawishi Tanzania nzima?
Unamweshimuje mtu manafiki kama yohana mbatizaji feki kama huyu mkuu?Acha matusi ya rejareja ndugu Yohana Mbatizaji - Una heshima sana humu JF kama hujijui - sasa kama watu unataka wakuvunjie heshima kama huyo unayempigia chapuo haya weee !!
Hill shoga lenu livunja haki za binadam kaeni nalo wenyeweHii ni fursa muhimu kwa chama kikuu cha upinzani Chadema kumpata mgombea mwenye ushawishi mkubwa kuliko wale walioko upinzani kwa sasa.
Najua Chadema imekamilisha zoezi la urejeshaji fomu za urais lakini hiyo haiwazuii kubadili gia angani endapo Makonda atakubali kupeperusha bendera yenu.
Maendeleo hayana vyama!
Bashite akasome kwanzaHii ni fursa muhimu kwa chama kikuu cha upinzani CHADEMA kumpata mgombea mwenye ushawishi mkubwa kuliko wale walioko upinzani kwa sasa.
Najua CHADEMA imekamilisha zoezi la urejeshaji fomu za urais lakini hiyo haiwazuii kubadili gia angani endapo Makonda atakubali kupeperusha bendera yenu.
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa........ Nimeshajieleza hapa Kawe tunasubiri matokeo na Dr Mashinji, Pascal Mayalla na Askofu Gwajima!Wewe Mwenyewe umekimbia kwenu Ruvuma, hata kutia nia umeogopa,umekalia majungu tu humu JF.
Siasa ni sayansi!Mkuu umewaonaje chadema?