CHADEMA mnaweza kumshawishi Makonda awe mgombea wenu wa Urais kama mlivyomshawishi Lowassa 2015

mungu wa Dar ameangukia pua😁😁😁
Hafai hata kuwa mwanachama wa Chadema, achilia mbali kuwa kiongozi ndani ya chama!
 
Kweli anaekutukana hakuchagulii tusi.
 
Ni afadhali kutosimamisha mtu kuliko huyo mtu, hafai kitu popote pale, kwanza anakataliwa hata na nchi za nje.
 
Ni kichaa tu ndiye atakae chukua uamuzi huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…