CHADEMA mnaweza kuwekwa mtegoni kwa kuingiziwa ruzuku itokanayo na Wabunge wa Viti Maalum msiowatambua

Eti wazirudishe teh teh teh! Aisee yaani Mbowe arudishe labda sio yule ninayemjua mimi...
 
Waingiziwe mara mbili?!

Unadhani kwanini wamepeleka majina haraka haraka?!
 
Ruzuku haitokani na wabunge
Inatokana na kura za ubunge
 
Chadema warudishe pesa?????
 
Mbowe, mchaga arudishe pesa🙄
Hacha utani huo
 
Sasa wakatae pesa halafu chama kinajiendesha vipi?,maana hata zinazopatikana hazitatosha
 
Hata haujui namna ya ruzuku zinavyotolewa,ruzuku inatolewa kwa kura za rais na sio idadi ya wabunge wa chama fulani
 
Nadhani suala la Aida ni tofauti kabisa na hawa viti maalum. Aida amekwenda bungeni kwa sababu ameshinda uchaguzi ambao chama kimeona ulikuwa batili, hawa viti maalum wamejipeleka bungeni kwa kugushi nyaraka za umma! Serikali kwa kushirikiana na Bunge na NEC wametenda jinai kitu kinachotilia mashaka uadilifu wa taasisi hizi za umma na hasa serikali.
Serikali hii imejidhihirisha kuwa kutenda haki ni matakwa binafsi ya Magufuli ilimradi ananufaika.
 
Ruzuku haitokani na wabunge
Inatokana na kura za ubunge
Sasa unapokeaje ruzuku inayotokana na matokeo haramu Chadema hili game hamtaliweza mmewekwa mtu kati.KATAENI YOTE YATOKANAYO NA UCHAGUZI VINGINEVYO NI USANII TU.KIFUPI MKUBALI YAISHE TUENDELEE NA MAISHA
 


Mwaka 2015 kwenye vuguvugu la Lowassa kuhamia Chadema, Tumaini Makene aliwahi kutuhakikishia kwamba hilo haliwezekani.

Asichokijua, Mbowe na timu yake walikuwa kwenye majadiliano bila kumshirikisha.

Hiyo screenshot, alikuwa anamjibu The Boss, unfortunately Tumaini hajawahi kurudi kuelezea ilikuwaje wakampokea Lowassa. Ila alipunguza kimbelembele cha kukisemea chama mitandaoni kwa mambo asiyo yajua.

Binafsi naamini hili la viti maalumu lina baraka za viongozi wa juu.
 
Mbowe alishaingiziwa kwenye akaunti yake mapema sana.
tatizo mnazindukaga mambo yashakwisha.
 
Bora ungejikita saizi kuisaidia cc itakayokaa kesho juu ya maamuzi ya Mdee et al, 2020. Alikuja kwa mkwara, mbwembwe nyingi, kejeri, karudi kwa aibu; bora Mbowe angegombea kuliko yule jamaa. This is a worst ever experience cdm mnapitia, na inahitaji busara kubwa sana katika kikao cha kesho, na mkikurupika tu kesho mtakuwa vipandevipande. After all, humo cdm hakuna mfia chama bana, wengi mpo opportunistic tu, magugu yapo mengi sana tena ya kutosha. It require a total overhaul on the current administration, and install new brain, great thinkers.
 
I love Tundu Lissu, May the Almighty God bless him.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…