Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Sheria za uchaguzi zimefanyiwa marekebisho kama mnavyotaka?Wakuu, Rais ajaye baada ya Samia ni Tundu Lissu !
Pole Kwa G-55 na wahuni wote ambao mmeingizwa Cha kike na watu wajinga.
Wavumilivu Kwa miezi hiyo michache wanaenda kula Mbivu na Wananchi wooooote Kwa ujumla watakua na Furaha sana Kwasababu WANAOONGOZA, NI WATU WA HAKI.
CCM HATA mfanyeje, hata mfanyeje, Huu ni wakati uloamriwa kua wa MABADILIKO.
Narudia Hata mfanyaje, hamna namna ya kuyabadili haya.
Wenye ndoto za URAIS kupitia CCM,Akina Makonda, Bashungwa, Mtaka, Mwigulu , SAHAUNI .
Ni zamu ya ACT kuwa chama kikuu Cha upinzaniWakuu, Rais ajaye baada ya Samia ni Tundu Lissu !
Pole Kwa G-55 na wahuni wote ambao mmeingizwa Cha kike na watu wajinga.
Wavumilivu Kwa miezi hiyo michache wanaenda kula Mbivu na Wananchi wooooote Kwa ujumla watakua na Furaha sana Kwasababu WANAOONGOZA, NI WATU WA HAKI.
CCM HATA mfanyeje, hata mfanyeje, Huu ni wakati uloamriwa kua wa MABADILIKO.
Narudia Hata mfanyaje, hamna namna ya kuyabadili haya.
Wenye ndoto za URAIS kupitia CCM,Akina Makonda, Bashungwa, Mtaka, Mwigulu , SAHAUNI .
Cdm imeshavuka hatua ya kuwa chama kikuu cha upinzani. Nakumbuka huu utapeli waliitwa Mbatia na Lipumba na dhalimu magu kabla ya uchaguzi wa 2020, akawaahidi kuwafanya wawe chama kikuu cha upinzani. Uchaguzi ulipofanyika ccm ikajikuta hao akina NCCR na CUF hawana kura zozote za maana, na cdm ina kura za kumwaga, dhalimu magu akaona isiwe tabu, bora apore mchakato wote.Ni zamu ya ACT kuwa chama kikuu Cha upinzani
Nilishasema mara nyingi sana kuwa NAONA KAMA VILE KUNA JAMBO KUBWA LITATOKEA TANZANIA mwaka huu. Sijawahi kuwaza kitu kama hiki since nimepata akili Zangu but recently nimekua disturbed Sana Sana na hii kitu. Anyway wacha Lolote litokeeWakuu, Rais ajaye baada ya Samia ni Tundu Lissu !
Pole Kwa G-55 na wahuni wote ambao mmeingizwa Cha kike na watu wajinga.
Wavumilivu Kwa miezi hiyo michache wanaenda kula Mbivu na Wananchi wooooote Kwa ujumla watakua na Furaha sana Kwasababu WANAOONGOZA, NI WATU WA HAKI.
CCM HATA mfanyeje, hata mfanyeje, Huu ni wakati uloamriwa kua wa MABADILIKO.
Narudia Hata mfanyaje, hamna namna ya kuyabadili haya.
Wenye ndoto za URAIS kupitia CCM,Akina Makonda, Bashungwa, Mtaka, Mwigulu , SAHAUNI .
Hii nchi Lissu akiwa Rais nina uhakika itavunjika vipande vipande na huenda ikawa mbaya kuliko Congo.Wakuu, Rais ajaye baada ya Samia ni Tundu Lissu !
Pole Kwa G-55 na wahuni wote ambao mmeingizwa Cha kike na watu wajinga.
Wavumilivu Kwa miezi hiyo michache wanaenda kula Mbivu na Wananchi wooooote Kwa ujumla watakua na Furaha sana Kwasababu WANAOONGOZA, NI WATU WA HAKI.
CCM HATA mfanyeje, hata mfanyeje, Huu ni wakati uloamriwa kua wa MABADILIKO.
Narudia Hata mfanyaje, hamna namna ya kuyabadili haya.
Wenye ndoto za URAIS kupitia CCM,Akina Makonda, Bashungwa, Mtaka, Mwigulu , SAHAUNI .
kuna busara nyingine za viongozi wetu, zaidi ya hizi tuzionazo?....Ni nani ana mzidi mwingine utawalani au upinzani?......ningeomba, kwenye hekima,busara, na uzalendo ungewaachia wananchi wachague kwenye unafuu.Hii nchi Lissu akiwa Rais nina uhakika itavunjika vipande vipande na huenda ikawa mbaya kuliko Congo.
Chadema tu ameshindwa kuwaunganisha,mtu ameshinda uchaguzi bado anatumia jukwaa kumshambulia mtu aliyekuwa kiongozi wake,mtu aliyempambania uhai wake!
Watu kama Lissu ni watu hatari sana duniani kwani hawajui binadamu ni binadamu tu hawezi kuwa malaika asiwe na mapungufu.Angemlindia heshima yake Mbowe,tungeona huyu ni binadamu.
Kibaya zaidi anamtukana mama wakati ukweli ni kwamba hata yeye kuweza kufanya siasa ni kwa vile mama amekuwa na utu sana.
Hawa akina Lissu wangekuwa na hekima,walikuwa na nafasi ya kuirudisha ile chadema yenye nguvu na siyo ilivyo sasa wanasemana wao na kuitana majina mabaya.Jambo hilo ni kuonesha chadema imepoteza lengo na watu wamejaa visasi.
Sikutarajia heche kuwa mpumbavu kiasi kile pia.Naona Mnyika kidogo amekuwa na busara lakini wamechelewa sana,chadema itasambaratika vibaya.
Huwezi kuendelea kwa kauli mbiu za kihuni
Uko sahihi. Lissu hafai kuwa rais. Ningependa labda awe waziri mkuu lakini siyo raisi. Ni lazima awe na mtu wa kumdhibiti. Aliita wenzake madikteta uchwara lakini yeye ana qualities zote za kuwa full-blown dictator - na kuzidi. Mungu Apishie mbali 🙏🏿Hii nchi Lissu akiwa Rais nina uhakika itavunjika vipande vipande na huenda ikawa mbaya kuliko Congo.
Chadema tu ameshindwa kuwaunganisha,mtu ameshinda uchaguzi bado anatumia jukwaa kumshambulia mtu aliyekuwa kiongozi wake,mtu aliyempambania uhai wake!
Watu kama Lissu ni watu hatari sana duniani kwani hawajui binadamu ni binadamu tu hawezi kuwa malaika asiwe na mapungufu.Angemlindia heshima yake Mbowe,tungeona huyu ni binadamu.
Kibaya zaidi anamtukana mama wakati ukweli ni kwamba hata yeye kuweza kufanya siasa ni kwa vile mama amekuwa na utu sana.
Hawa akina Lissu wangekuwa na hekima,walikuwa na nafasi ya kuirudisha ile chadema yenye nguvu na siyo ilivyo sasa wanasemana wao na kuitana majina mabaya.Jambo hilo ni kuonesha chadema imepoteza lengo na watu wamejaa visasi.
Sikutarajia heche kuwa mpumbavu kiasi kile pia.Naona Mnyika kidogo amekuwa na busara lakini wamechelewa sana,chadema itasambaratika vibaya.
Huwezi kuendelea kwa kauli mbiu za kihuni
Eti ndo think tank la chadema chakavu linaongea hapa,........na kwamba mwaka huu eti ndo wanachukua nchi😂😂😂😂😂Kuna jamaa ana tumbo kubwa kama makalio ya poshi queen mzee kuunguza masoko yeye kila sehemu baada ya kujenga hoja anakalia CDM hafahamu anatangaza CDM kujua ujinga wake matako kama nyanya chungu za msata
AMINA 🙏Wakuu, Rais ajaye baada ya Samia ni Tundu Lissu !
Pole Kwa G-55 na wahuni wote ambao mmeingizwa Cha kike na watu wajinga.
Wavumilivu Kwa miezi hiyo michache wanaenda kula Mbivu na Wananchi wooooote Kwa ujumla watakua na Furaha sana Kwasababu WANAOONGOZA, NI WATU WA HAKI.
CCM HATA mfanyeje, hata mfanyeje, Huu ni wakati uloamriwa kua wa MABADILIKO.
Narudia Hata mfanyaje, hamna namna ya kuyabadili haya.
Wenye ndoto za URAIS kupitia CCM,Akina Makonda, Bashungwa, Mtaka, Mwigulu , SAHAUNI .
Chadema hawajui huwa wanaongea nini. Wapo wapo tuu mara Rais tundu huku uchaguzi hamna!Sheria za uchaguzi zimefanyiwa marekebisho kama mnavyotaka?
Na hatimaye akaamua kufa kwa kihoroCdm imeshavuka hatua ya kuwa chama kikuu cha upinzani. Nakumbuka huu utapeli waliitwa Mbatia na Lipumba na dhalimu magu kabla ya uchaguzi wa 2020, akawaahidi kuwafanya wawe chama kikuu cha upinzani. Uchaguzi ulipofanyika ccm ikajikuta hao akina NCCR na CUF hawana kura zozote za maana, na cdm ina kura za kumwaga, dhalimu magu akaona isiwe tabu, bora apore mchakato wote.