CHADEMA mpya itashiriki uchaguzi Mkuu ujao , Ushindi wake ni hakika, Mamia kwa mamia ya Wabunge, Madiwani wa CHADEMA, Pole kwa wanaohama

CHADEMA mpya itashiriki uchaguzi Mkuu ujao , Ushindi wake ni hakika, Mamia kwa mamia ya Wabunge, Madiwani wa CHADEMA, Pole kwa wanaohama

Eti ndo think tank la chadema chakavu linaongea hapa,........na kwamba mwaka huu eti ndo wanachukua nchi😂😂😂😂😂
Wrong ni makala na wasira
 
Kuna jamaa ana tumbo kubwa kama makalio ya poshi queen mzee kuunguza masoko yeye kila sehemu baada ya kujenga hoja anakalia CDM hafahamu anatangaza CDM kujua ujinga wake matako kama nyanya chungu za msata
😂😂😂
 
Wakuu, Rais ajaye baada ya Samia ni Tundu Lissu !

Pole Kwa G-55 na wahuni wote ambao mmeingizwa Cha kike na watu wajinga.

Wavumilivu Kwa miezi hiyo michache wanaenda kula Mbivu na Wananchi wooooote Kwa ujumla watakua na Furaha sana Kwasababu WANAOONGOZA, NI WATU WA HAKI.

CCM HATA mfanyeje, hata mfanyeje, Huu ni wakati uloamriwa kua wa MABADILIKO.

Narudia Hata mfanyaje, hamna namna ya kuyabadili haya.

Wenye ndoto za URAIS kupitia CCM,Akina Makonda, Bashungwa, Mtaka, Mwigulu , SAHAUNI .
Na iwe hivyo
 
Back
Top Bottom