CHADEMA mpya itashiriki uchaguzi Mkuu ujao , Ushindi wake ni hakika, Mamia kwa mamia ya Wabunge, Madiwani wa CHADEMA, Pole kwa wanaohama

Eti ndo think tank la chadema chakavu linaongea hapa,........na kwamba mwaka huu eti ndo wanachukua nchiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wrong ni makala na wasira
 
Kuna jamaa ana tumbo kubwa kama makalio ya poshi queen mzee kuunguza masoko yeye kila sehemu baada ya kujenga hoja anakalia CDM hafahamu anatangaza CDM kujua ujinga wake matako kama nyanya chungu za msata
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na iwe hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…