TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
TrueHeche na CHADEMA, mkimpokea nchimbi mtakuwa mmefanya dhambi kubwa sana ya usaliti na uasi dhidi ya Tundu Lissu na Wapenda haki kwa ujumla
Hata wasipompokea bado chadema ni dhaifu tu. Na hata ikiwa strong haisaidii pia maana siasa ya nchi yeti bado haijadevelop kiivyo hasa kwenye mambo ya uchaguziCCM ina mbinu nyingi sana kwenye kuharibu upinzani thabiti.
Miongoni mwa mbinu hizo ni pamoja na kuvurugana ndani kwao, maboss kwa maboss, kisha mmoja anakimbilia kwenda kujiunga na chama chenye nguvu.
Tushituke, tusiukubali huu mtego. Yuda kama anataka siasa nje ya CCM aende kwenye branch za CCM kama Chaumma, ACT Wazalendo nk.
Mifano iko mingi kuanzia zama za Mrema, Augustino Lyatonga, LOWASSA Edward, nk
Dhaifu ni hao wezi wa kura na wanaotolewa kwenye nafasi ambazo wamewekwa kikatiba, Raisi hana mamlaka ya kumtoa spika au makamu wa Raisi, maboya ya CCM yanaangalia tuu na kutumika kama toilet paperHata wasipompokea bado chadema ni dhaifu tu. Na hata ikiwa strong haisaidii pia maana siasa ya nchi yeti bado haijadevelop kiivyo hasa kwenye mambo ya uchaguzi
Ndio maana msisitizo ni NO REFORM NO ELECTIONHata wasipompokea bado chadema ni dhaifu tu. Na hata ikiwa strong haisaidii pia maana siasa ya nchi yeti bado haijadevelop kiivyo hasa kwenye mambo ya uchaguzi
Unazijua akili za watu wa CCM?Nchimbi hana hata ilo wazo la chadema
Tatizo katiba ni dhaifu mnoDhaifu ni hao wezi wa kura na wanaotolewa kwenye nafasi ambazo wamewekwa kikatiba, Raisi hana mamlaka ya kumtoa spika au makamu wa Raisi, maboya ya CCM yanaangalia tuu na kutumika kama toilet paper
Sio nchimbi mkuuUnazijua akili za watu wa CCM?
Watangulizi wake walikuwa ni wendawazimu?Sio malaika ila hana izo akili za kiwendawazimu
Ndio mkuuWatangulizi wake walikuwa ni wendawazimu?