Chadema msidanganyike kumpokea Yuda, huyo ametumwa kuja kukivuruga chama.

CCM ina mbinu nyingi sana kwenye kuharibu upinzani thabiti.
Miongoni mwa mbinu hizo ni pamoja na kuvurugana ndani kwao, maboss kwa maboss, kisha mmoja anakimbilia kwenda kujiunga na chama chenye nguvu.

Tushituke, tusiukubali huu mtego. Yuda kama anataka siasa nje ya CCM aende kwenye branch za CCM kama Chaumma, ACT Wazalendo nk.

Mifano iko mingi kuanzia zama za Mrema, Augustino Lyatonga, LOWASSA Edward, nk
mnafurukuta, mnaweweseka au ni kiwewe tu gentleman? :pedroP:
 
Watu wanaama vyama bhana 😂Ni haki yake kikatiba siasa sio uadui ! hata Donald hakuanzia Republic amehama vyama karibu viwili ikiwemo Democrats
 
Hata wasipompokea bado chadema ni dhaifu tu. Na hata ikiwa strong haisaidii pia maana siasa ya nchi yeti bado haijadevelop kiivyo hasa kwenye mambo ya uchaguzi
Wewe na chwa mwenzako tilatilah si mulikataa NCHIMBI hawezi achia ngazi vipi leo imekuaje? Cc. Mkata viuno wa lumumba buku7fc
 
CCM ina mbinu nyingi sana kwenye kuharibu upinzani thabiti.
Miongoni mwa mbinu hizo ni pamoja na kuvurugana ndani kwao, maboss kwa maboss, kisha mmoja anakimbilia kwenda kujiunga na chama chenye nguvu.

Tushituke, tusiukubali huu mtego. Yuda kama anataka siasa nje ya CCM aende kwenye branch za CCM kama Chaumma, ACT Wazalendo nk.

Mifano iko mingi kuanzia zama za Mrema, Augustino Lyatonga, LOWASSA Edward, nk
Unaelewa maana ya kustaafu siasa na kazi za umma?
 
Amepumzika siasa, sasa kuhamia chadema kunakujaje tena?
 
HQgT1r8WEAAQizI.jpg
 
CCM ina mbinu nyingi sana kwenye kuharibu upinzani thabiti.
Miongoni mwa mbinu hizo ni pamoja na kuvurugana ndani kwao, maboss kwa maboss, kisha mmoja anakimbilia kwenda kujiunga na chama chenye nguvu.

Tushituke, tusiukubali huu mtego. Yuda kama anataka siasa nje ya CCM aende kwenye branch za CCM kama Chaumma, ACT Wazalendo nk.

Mifano iko mingi kuanzia zama za Mrema, Augustino Lyatonga, LOWASSA Edward, nk
Kichwa chako kimejaa mavi.
 
CCM wana mbinu nyingi, ni baba wa michezo michafu
ni kama shetani alivyo baba wa uongo

“Ninyi ni wa baba yenu, Ibilisi, na tamaa za baba yenu ndizo mpendazo kuzitenda. Yeye alikuwa mwuaji tangu mwanzo; wala hakusimama katika kweli, kwa kuwa hamna hiyo kweli ndani yake. Asemapo uongo, husema yaliyo yake mwenyewe; kwa sababu yeye ni mwongo, na baba wa huo."
— Yohana 8:44 (Biblia Takatifu)
 
Ni kweli na hili na spika Ndugai kulazimishwa kujiuzuru, ndio maana nawashangaa sana wana CCM wanavyokataa katiba mpya, wanaishi kwa favor na huruma ya mkuu wao wa chama tuu hawana uhuru wowote wa kuongea
ma zero brain yamejaa humo. just imagine wasira ndiye think tank wa chama
 
Hivi si amesema anastaafu "siasa" na "utumishi wa umma"

Maana ya kustaafu siasa ni kwamba hatajihusisha na shughuli zozote za kisiasa ikiwemo kujiunga na chama kingine cha siasa
 
Back
Top Bottom