mnafurukuta, mnaweweseka au ni kiwewe tu gentleman?CCM ina mbinu nyingi sana kwenye kuharibu upinzani thabiti.
Miongoni mwa mbinu hizo ni pamoja na kuvurugana ndani kwao, maboss kwa maboss, kisha mmoja anakimbilia kwenda kujiunga na chama chenye nguvu.
Tushituke, tusiukubali huu mtego. Yuda kama anataka siasa nje ya CCM aende kwenye branch za CCM kama Chaumma, ACT Wazalendo nk.
Mifano iko mingi kuanzia zama za Mrema, Augustino Lyatonga, LOWASSA Edward, nk
Mama yako naye kishaandika barua ya kujiuzulumnafurukuta, mnaweweseka au ni kiwewe tu gentleman?
Wewe na chwa mwenzako tilatilah si mulikataa NCHIMBI hawezi achia ngazi vipi leo imekuaje? Cc. Mkata viuno wa lumumba buku7fcHata wasipompokea bado chadema ni dhaifu tu. Na hata ikiwa strong haisaidii pia maana siasa ya nchi yeti bado haijadevelop kiivyo hasa kwenye mambo ya uchaguzi
Ni kweli na hili na spika Ndugai kulazimishwa kujiuzuru, ndio maana nawashangaa sana wana CCM wanavyokataa katiba mpya, wanaishi kwa favor na huruma ya mkuu wao wa chama tuu hawana uhuru wowote wa kuongeaTatizo katiba ni dhaifu mno
Unaelewa maana ya kustaafu siasa na kazi za umma?CCM ina mbinu nyingi sana kwenye kuharibu upinzani thabiti.
Miongoni mwa mbinu hizo ni pamoja na kuvurugana ndani kwao, maboss kwa maboss, kisha mmoja anakimbilia kwenda kujiunga na chama chenye nguvu.
Tushituke, tusiukubali huu mtego. Yuda kama anataka siasa nje ya CCM aende kwenye branch za CCM kama Chaumma, ACT Wazalendo nk.
Mifano iko mingi kuanzia zama za Mrema, Augustino Lyatonga, LOWASSA Edward, nk
Kichwa chako kimejaa mavi.CCM ina mbinu nyingi sana kwenye kuharibu upinzani thabiti.
Miongoni mwa mbinu hizo ni pamoja na kuvurugana ndani kwao, maboss kwa maboss, kisha mmoja anakimbilia kwenda kujiunga na chama chenye nguvu.
Tushituke, tusiukubali huu mtego. Yuda kama anataka siasa nje ya CCM aende kwenye branch za CCM kama Chaumma, ACT Wazalendo nk.
Mifano iko mingi kuanzia zama za Mrema, Augustino Lyatonga, LOWASSA Edward, nk
ni kama shetani alivyo baba wa uongoCCM wana mbinu nyingi, ni baba wa michezo michafu
ma zero brain yamejaa humo. just imagine wasira ndiye think tank wa chamaNi kweli na hili na spika Ndugai kulazimishwa kujiuzuru, ndio maana nawashangaa sana wana CCM wanavyokataa katiba mpya, wanaishi kwa favor na huruma ya mkuu wao wa chama tuu hawana uhuru wowote wa kuongea
Si kwasababu wewe huna choo, ukitaka kunya unapanda juu ya miti, umeninyea nikiwa ninapita chini ya mtiKichwa chako kimejaa mavi.
Usiwaamini wanasiasaUnaelewa maana ya kustaafu siasa na kazi za umma?