4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 11,613
- 13,543
Sahii Lowasa alishinda na alipominywa kidogo akarudi ccm japo alitumia maneno ya Busara sana wakati anarudi ccm sio kama wengine ambao hubagaza vyama vyao vya awali,Nchimbi ni inside job ya CCM, siyo wa kuaminiwa kirahisi kabisa!
Hakuna nakataa, Watu wa aina ya Lowasa, Nchimbi bado wapo chini ya viapo , kuuza kambi dakika mbiliVyama ni vya watanzania wote, raia ana uhuru wa kujiunga na chama chochote cha siasa kama anaona hicho chama kinafanya siasa za kizalendo. Akaribishwe tu CHADEMA moto wa katiba upambe moto zaidi
Lissu&Heche hawawezi kufanya huo ujinga. Hawa sio wapiga dili. Wamejipambanua hivyo consistently na kila mwenye macho amewasoma!Kwema wana Chadema , amani ya Mungu ikawe juu yenu, mnakumbuka Mh lowasa na Mbowe walivyo waangusha
Leo chama chenu kimejaa wabobevu wa kila aina kwenye siasa n.k
Ccm ni wahuni sana , huu mtego wa nchimbi msije mkajichanganya.
Chama chenu kwa sasa kiko imara kuliko tangu kimeanzishwa, ujio wa lissu na Heche ni balaa alisema Msiba kabla na kada wa ccm.
Kwa sasa hakikisha kuwa karibu na kesi ya mwana wa Mungu Lissu ,haya ya Nchimbi msiyape uzito sana.
Why msiyape uzito sana
1. Hakuna mtanzania mwenye akili timamu hajui uchaguzi uliowaweka pale kwamba haukua uchaguzi. Na pamoja na yote wazee katika Taifa kama wamepigwa ganzi , kwamba pamoja na mapungufu ya uchaguzi wanaona Makamu kujiudhuru ni jambo la kawaida.
Mungu akawaongoze chadema msiingie kwenye mtego huu.
Thanks
Sahii mkuuLissu&Heche hawawezi kufanya huo ujinga. Hawa sio wapiga dili. Wamejipambanua hivyo consistently na kila mwenye macho amewasoma!
Kwani level amefikia lazima endelea kuwa mwanasiasa ,huyu si anaendelea lipwa kodi za wananchi mpaka pale Mungu atamuita au wanasheria wanasemajeSasa ataenda chama kipi? Maana ACT Wazalendo wana ubia na CCM, ni pacha! CHAUMA nacho ni utopolo mtupu. CHADEMA ndiyo ina vibe kubwa ajiunge huko kudai katiba
Hapo ndipo mnapokosea...Kwema wana Chadema , amani ya Mungu ikawe juu yenu, mnakumbuka Mh lowasa na Mbowe walivyo waangusha
Leo chama chenu kimejaa wabobevu wa kila aina kwenye siasa n.k
Ccm ni wahuni sana , huu mtego wa nchimbi msije mkajichanganya.
Chama chenu kwa sasa kiko imara kuliko tangu kimeanzishwa, ujio wa lissu na Heche ni balaa alisema Msiba kabla na kada wa ccm.
Kwa sasa hakikisha kuwa karibu na kesi ya mwana wa Mungu Lissu ,haya ya Nchimbi msiyape uzito sana.
Why msiyape uzito sana
1. Hakuna mtanzania mwenye akili timamu hajui uchaguzi uliowaweka pale kwamba haukua uchaguzi. Na pamoja na yote wazee katika Taifa kama wamepigwa ganzi , kwamba pamoja na mapungufu ya uchaguzi wanaona Makamu kujiudhuru ni jambo la kawaida.
Mungu akawaongoze chadema msiingie kwenye mtego huu.
Thanks
Nakubaliana wewe , elewa watu kama Dr Chimbi sio wa mchezo , hawa mpaka kaburini wapo chini ya viapo, kuuza kambi dakika 0 ,Hapo ndipo mnapokosea...
chama cha siasa si ukoo wala kabila kwamba mtu hawezi kuhamia hamia...
Vyama vya siasa ni kwa ajili ya watu...
Na kadri idadi ya watu wanaokiunga mkono wanavyokuwa wengi ndivyo ushawishi unavyoongezeka!
Ili chama cha siasa kishike madaraka kinapaswa kushawishi watu wengi wawe upande wake!
CHADEMA inapaswa kuwa kimbilio la watu wengi zaidi wenye ushawishi na wasiokuwa na uzoefu... wastaafu, wenye uzoefu, mapolisi, wanajeshi, wana ccm n.k - Yaani wote wafunguliwe milango waje!
Ujio wao kwa wingi utaongeza nguvu na chachu kwenye madai ya Katiba Mpya na Tume Huru ya Uhaguzi.
CHADEMA msijifungie ndani mkavimba vichwa kwamba mtaweza kuushinda udhalimu mkiwaaacha wengine nje!
Open doors to other well-wishers!
Mkuu ikitokea siku CDM imechukua madaraka utawaona watu wale wale wa siku zote kwenye nafasi zile zile!Nakubaliana wewe , elewa watu kama Dr Chimbi sio wa mchezo , hawa mpaka kaburini wapo chini ya viapo, kuuza kambi dakika 0 ,
Chama ni watu ila aina ya watu ndo changamoto ilipo ,kwamba Dr nchimbi zungumzia katiba tu ndo iwe kigezo cha kuaminiwa na chama kama alivyo aminiwa na Lowasasa na kuingizwa kamati kuu , nini kilitokea ?
Je chadema wanajua mangapi aliyapeleko ccm ?
Huu sio mda wa majaribio kwa chama cha wananchi
Lazima mkuu tuwe na mfumo kwamba Chadema wakaingia na kuzingua tunawakataa au chama chochote , hii hali ya ccm kujiona ndo Dume inalitesa Taifa na kuliangamiza.Mkuu ikitokea siku CDM imechukua madaraka utawaona watu wale wale wa siku zote kwenye nafasi zile zile!
Wanasiasa hawawezi kuishi nje ya siasa!
Mark my words!
Karibu sana Emmanuel Nchimbi CDM huku ndio kwa watu wazalendo kama wewe.Kwema wana Chadema , amani ya Mungu ikawe juu yenu, mnakumbuka Mh lowasa na Mbowe walivyo waangusha
Leo chama chenu kimejaa wabobevu wa kila aina kwenye siasa n.k
Ccm ni wahuni sana , huu mtego wa nchimbi msije mkajichanganya.
Chama chenu kwa sasa kiko imara kuliko tangu kimeanzishwa, ujio wa lissu na Heche ni balaa alisema Msiba kabla na kada wa ccm.
Kwa sasa hakikisha kuwa karibu na kesi ya mwana wa Mungu Lissu ,haya ya Nchimbi msiyape uzito sana.
Why msiyape uzito sana
1. Hakuna mtanzania mwenye akili timamu hajui uchaguzi uliowaweka pale kwamba haukua uchaguzi. Na pamoja na yote wazee katika Taifa kama wamepigwa ganzi , kwamba pamoja na mapungufu ya uchaguzi wanaona Makamu kujiudhuru ni jambo la kawaida.
Mungu akawaongoze chadema msiingie kwenye mtego huu.
Thanks
Bado mdogo, 55yrs bado mdogo kisiasaKwani level amefikia lazima endelea kuwa mwanasiasa ,huyu si anaendelea lipwa kodi za wananchi mpaka pale Mungu atamuita au wanasheria wanasemaje