Chadema msikubali kuingizwa kwenye mtego wa udini au Utanganyika na uzanzibar Haina tofauti na ukabila , CHADEMA ni ya watu wote

Chadema msikubali kuingizwa kwenye mtego wa udini au Utanganyika na uzanzibar Haina tofauti na ukabila , CHADEMA ni ya watu wote

Gift mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2019
Posts
4,675
Reaction score
6,428
Kuna watu wenye Nia ovu wanataka kuingiza Cdm kwenye Utanganyika na Uzanzibar
Wengine wakitaka kuingiza uislamu na ukristo NDANI ya Cdm

Hao wote ni watu wabaya Sana Kwa Chadema.

Chadema ni ya waislamu na wakristo na wasio na dini

Chadema ni ya wazanzibar na watanganyika

Hao wajinga wanaojaribu kuingiza chama kwenye ujinga mgawanyiko wa kidini na Utanganyika na Uzanzibar wakemewe vikali hadharani.

Wapo waislamu wengi Sana hata pengine kuliko wakristo wapenda haki na waaminifu
Vile vile Kuna wakristo wapenda haki na waaminifu pia

Wapo Wazanzibar wengi wapenda haki na watanganyika vile vile

Tuache ujinga wa kumhukumu mtu kwa dini yake au Utanganyika na Zanzibar

Tujenge chama kinachojadili Vitu kwa hoja sio mihemko ya udini na Utanganyika na Uzanzibar hiyo ni sawa na ukabila
 
Tanzania bado ni jamhuri ya Muungano mpaka wananchi watakapoamua kivingine
 
Naendelea kusisitiza Utanganyika na Uzanzibar Haina tofauti na ukabila

Cdm msiingie kwenye huo mtego
 
Kiongozi mmoja wa kikristo au kiislam huwezi kuhukumu dini nzima kisa MTU mmoja huo ni mtego Cdm epukeni huo mtego wa kijinga
 
Sasa mbona Zanzibar wameshawasha azadi na malalamiko? Binadamu muda wote tunawaza matumbo.
Chadema ni Chama Cha Siasa kilichosajiliwa chini ya Jamhuri ya MUUNGANO
Lazima kionyeshe Nia ya dhati kutetea pande zote

Hawa wanaibua Utanganyika na Uzanzibar au uislamu na ukristo kisa kiongozi KUTOKA Zanzibar Muislamu,
hao ni watu wenye upeo mdogo Sana au Wana Nia ovu kabisa
 
umechelewa sana mkuu, Vijana wa chadema mda wote mitandaoni kazi yao ni kuwatukana waislamu na wazanzibari. Ni ngumu sana Chadema kuendelea kupata imani ya watu wa jamii hizo. ni bila ya imani ya hao watu Chadema haiwezi kufikia malengo
 
Chadema ni chama Cha kikristo waislam wanaokishabikia ni wale wenye uelewa finyu hakuna mwislamu mwenye nafasi chadema hàta akina Ziti wameenguliwa Kwa ajili ya udini.Maaskofu Wengi wako chadema mikutano mingi inafanyika kanisani ili waislamu wasiingie.Hata Kwa mazigira ya kawaida yanadhihirisha.Uzuri waislamu wengi wameshajua. Ni
Sasa mbona Zanzibar wameshawasha azadi na malalamiko? Binadamu muda wote tunawaza matumbo.
Angalia safu ya uongozi wa juu waislamu wako wangapi. Ni ujinga na uzuzu Kwa Mwislamu kushabikia chama kinachochukia waislamu.Wanamchukia Samia Kwa sababu ni muislamu.Hata mkipamba na mna Gani huko ndio ukweli.
 
Kwa sasa njia pekee inayoweza kuisaidia chadema kuingia madarakani ni udini na utanganyika
Wengi hawamtaki samia kwa sababu inasemekana anauza rasilimali za Tanganyika tu za Zanzibar hauzi. Pesa inayopatikana inaenda kujenga Zanzibar huku akiacha tanganyika ikiwa na miundombinu mibovu hata ile aliyoacha magufuli haikumaliziwa kwa ufanisi wala hakuna ukarabati.

Waislamu wakifanya dua ya kumuombea samia ni sawa ila wakristo wakimwombea lisu atoke gerezani wanafungiwa kanisa.

Shura ya maimamu ikitoa waraka ni sawa ila wakatoliki wakisema kuwe na haki wana shambuliwa. Kwa hiyo udini na u Zanzibar wameuanzisha wao acha kazi iendelee. In short hakuna anaeutaka huo muungano. Hata nyerere angeamka leo akaona haya yanayoendelea nadhani angekubali kuvunja muungano
 
Chadema ni chama Cha kikristo waislam wanaokishabikia ni wale wenye uelewa finyu hakuna mwislamu mwenye nafasi chadema hàta akina Ziti wameenguliwa Kwa ajili ya udini.Maaskofu Wengi wako chadema mikutano mingi inafanyika kanisani ili waislamu wasiingie.Hata Kwa mazigira ya kawaida yanadhihirisha.Uzuri waislamu wengi wameshajua. Ni
Angalia safu ya uongozi wa juu waislamu wako wangapi. Ni ujinga na uzuzu Kwa Mwislamu kushabikia chama kinachochukia waislamu.Wanamchukia Samia Kwa sababu ni muislamu.Hata mkipamba na mna Gani huko ndio ukweli.
Ndugu

Kuhusu dini umefika mbali na mimi sio mtaalamu wa mambo hayo. Kila mtu anatakiwa ashike imani yake na kumlili muumba ampe riziki yake.

Ukisema serikali au watanganyika wanawadharau waislamu unamkufuru mungu. Kumuhudumia by nadamu mpaka wote wakubali ni kazi ya Mungu.

Mfano. Chadema wamekuja na slogan ambayo imepinya kwa kila mtanzania na wate wa upinzani na CCM wanataka mabadiliko ila wale wachache wa ccm hawataki kwa sababu wanajua mirija ya drip itakata. Hii ndiyo sauti ya Mungu hapa ndipo viongozi wa dini wanatakiwa wawasaidie waumini kupaaza sauti serikali ifanye wanachotaka wananchi.

Magu alikuwa ni mkristo mpaka kanisani alikuwa anakwenda na video lakini viongozi wa dini ya kikristo walikuwa ni wakwanza kumpa waraka na kumkumbusha anakengeuka asililize sauti ya watanzania wote.

Leo hii unatuletea ubaguzi eti Sa100 anapigwa vita. Wakristo wanabagua waislamu jiulize alieshika serikali ni mwislamu mwambie aondoe wakristo wote serikalini aweke waislamu.

Hata Israel na wapalestina zilianza chokochoko kama hizi watu wakawa wanazaliwa na vinyongo kizazi na kizazi. Leo hii unaona yanayoendelea huko.
 
Narudia Tena uadui wetu sio wazanzibar Wala utanganyika
Ni mfumo mbovu wa Ccm

Tusikubali kugawanywa kipumbavu
 
Sisim imejaribu kuwa gawanya Kwa udini imeshindwa
Kwa ukabila ikashindwa

Sasa tusikubali kugawanywa Kwa uzanzibar na utanganyika
 
Back
Top Bottom