Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Mnazo sababu nyingi sana za kujadiliana na wananchi ili mpate nafasi ya kuongoza nchi,
1. Wizi umerudi woote kama awali, ufisadi serikalini kama kawaida.
2. Uuzwaji wa bandari za bara ni nyundo nzito sana kwa mpinzani wenu, hii pekee inaweza kuwatoa.
3. Mikataba mingi kusainiwa bila watanzania kujua kinachoendelea, kama dubai tunaambiwa ilisainiwa kama thirty something, tumeujua huu mmoja tu, hiyo mingine tusiyoijua itakuwaje?
4. Maisha magumu kwa wananchi, juzi hapa nimemsikia waziri mabula anasema Dodoma watu wasijenge maduka, nikajiuliza, hataki watu wajenge maduka? anataka wasifanye biashara? hivi kuwa na maduka mengi kuna shida gani kwenye nchi inayochipukia uchumi?
Kwa hayo machache, zungukeni mkiwafafanua hoja hizi kwa wananchi, hadi kufikia 2025 mnachukua hii nchi. ukitaka kujua kilichoko mioyoni mwa wananchi walio wengi hata wale wanaojifanya ni chawa, ongelea haya mambo hapa juu, utajua yapo mioyoni mwao.