Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Rais mla rushwa🐒🐒🐒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo Chadema walimponda magufuri na wakasema wanaoenda na mama..Hivyo wanakubaliana na mama Kwa kila kituMnazo sababu nyingi sana za kujadiliana na wananchi ili mpate nafasi ya kuongoza nchi,
1. Wizi umerudi woote kama awali, ufisadi serikalini kama kawaida.
2. Uuzwaji wa bandari za bara ni nyundo nzito sana kwa mpinzani wenu, hii pekee inaweza kuwatoa.
3. Mikataba mingi kusainiwa bila watanzania kujua kinachoendelea, kama dubai tunaambiwa ilisainiwa kama thirty something, tumeujua huu mmoja tu, hiyo mingine tusiyoijua itakuwaje?
4. Maisha magumu kwa wananchi, juzi hapa nimemsikia waziri mabula anasema Dodoma watu wasijenge maduka, nikajiuliza, hataki watu wajenge maduka? anataka wasifanye biashara? hivi kuwa na maduka mengi kuna shida gani kwenye nchi inayochipukia uchumi?
Kwa hayo machache, zungukeni mkiwafafanua hoja hizi kwa wananchi, hadi kufikia 2025 mnachukua hii nchi. ukitaka kujua kilichoko mioyoni mwa wananchi walio wengi hata wale wanaojifanya ni chawa, ongelea haya mambo hapa juu, utajua yapo mioyoni mwao.
nahofia CCM kong'oka kwa aibu.unaporuhusu mikutano ya hadhara wakati hauko smart kujibu hoja sijui walifikiria nini.au watakuja kusema kuwa nchi ina wenyewe kama tulivyoambiwa na NAPE kuwa CCM ina wenywe na mwengine akasema wema hawafi .Mimi ninapenda, walivyojipanga, pole pole wanazunguka hata kwa watu wachache tarartibu, hadi 2025 watakuwa wameteka mioyo ya wengi sana. na social media inawabeba sana itumieni kwa ufasaha.
kweli kabisaKama unamanisha nchi ya kwenye twita hapo sawa
Mbeke ya Jaji Mtungi, Dr Mahera, Jaji Mwijage na IGP hawa hawa?Mnazo sababu nyingi sana za kujadiliana na wananchi ili mpate nafasi ya kuongoza nchi,
1. Wizi umerudi woote kama awali, ufisadi serikalini kama kawaida.
2. Uuzwaji wa bandari za bara ni nyundo nzito sana kwa mpinzani wenu, hii pekee inaweza kuwatoa.
3. Mikataba mingi kusainiwa bila watanzania kujua kinachoendelea, kama dubai tunaambiwa ilisainiwa kama thirty something, tumeujua huu mmoja tu, hiyo mingine tusiyoijua itakuwaje?
4. Maisha magumu kwa wananchi, juzi hapa nimemsikia waziri mabula anasema Dodoma watu wasijenge maduka, nikajiuliza, hataki watu wajenge maduka? anataka wasifanye biashara? hivi kuwa na maduka mengi kuna shida gani kwenye nchi inayochipukia uchumi?
Kwa hayo machache, zungukeni mkiwafafanua hoja hizi kwa wananchi, hadi kufikia 2025 mnachukua hii nchi. ukitaka kujua kilichoko mioyoni mwa wananchi walio wengi hata wale wanaojifanya ni chawa, ongelea haya mambo hapa juu, utajua yapo mioyoni mwao.
Mkuu usemalo halina ubishi, kwa hali irivyo sasa hili dude walilo liamsha ninahakika 2025 halitawaacha salamaMnazo sababu nyingi sana za kujadiliana na wananchi ili mpate nafasi ya kuongoza nchi,
1. Wizi umerudi woote kama awali, ufisadi serikalini kama kawaida.
2. Uuzwaji wa bandari za bara ni nyundo nzito sana kwa mpinzani wenu, hii pekee inaweza kuwatoa.
3. Mikataba mingi kusainiwa bila watanzania kujua kinachoendelea, kama dubai tunaambiwa ilisainiwa kama thirty something, tumeujua huu mmoja tu, hiyo mingine tusiyoijua itakuwaje?
4. Maisha magumu kwa wananchi, juzi hapa nimemsikia waziri mabula anasema Dodoma watu wasijenge maduka, nikajiuliza, hataki watu wajenge maduka? anataka wasifanye biashara? hivi kuwa na maduka mengi kuna shida gani kwenye nchi inayochipukia uchumi?
Kwa hayo machache, zungukeni mkiwafafanua hoja hizi kwa wananchi, hadi kufikia 2025 mnachukua hii nchi. ukitaka kujua kilichoko mioyoni mwa wananchi walio wengi hata wale wanaojifanya ni chawa, ongelea haya mambo hapa juu, utajua yapo mioyoni mwao.
sasa kama hoja ya DP world unaijibuje hata kama wewe ungekuwa ccm? mimato itakuwa inakutoka tu unazunguruka huna hata la kusema.nahofia CCM kong'oka kwa aibu.unaporuhusu mikutano ya hadhara wakati hauko smart kujibu hoja sijui walifikiria nini.au watakuja kusema kuwa nchi ina wenyewe kama tulivyoambiwa na NAPE kuwa CCM ina wenywe na mwengine akasema wema hawafi .
wanasema asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu. Watanzania wamejifunza umuhimu wa wabunge wa upinzani, kipindi wapo mle ndani kina sugu, lema, mbowe, tundu, msigwa na wengine palikuwa panachimbika walau. wamekuwepo ccm wote nchi inabaki inaamuliwa kwa mawazo ya kina msukuma na kibajaji. the whole fate of the country ipo mikononi mwa ndiooooooooooooo, na hakuna wa kusema hapana. Mpina amejitahidi weee wapi.Tumtumainie Mungu,