CHADEMA msipochukua nchi 2025 - basi!

Rais mla rushwa๐Ÿ’๐Ÿ’๐Ÿ’
Your browser is not able to display this video.
 
Tatizo Chadema walimponda magufuri na wakasema wanaoenda na mama..Hivyo wanakubaliana na mama Kwa kila kitu
 
Wako hoi hawawezi hao walamba asali.

Wanaruka ruka tu hata hawajielewi.
 
Mimi ninapenda, walivyojipanga, pole pole wanazunguka hata kwa watu wachache tarartibu, hadi 2025 watakuwa wameteka mioyo ya wengi sana. na social media inawabeba sana itumieni kwa ufasaha.
nahofia CCM kong'oka kwa aibu.unaporuhusu mikutano ya hadhara wakati hauko smart kujibu hoja sijui walifikiria nini.au watakuja kusema kuwa nchi ina wenyewe kama tulivyoambiwa na NAPE kuwa CCM ina wenywe na mwengine akasema wema hawafi .
 
Mbeke ya Jaji Mtungi, Dr Mahera, Jaji Mwijage na IGP hawa hawa?
 
Mkuu usemalo halina ubishi, kwa hali irivyo sasa hili dude walilo liamsha ninahakika 2025 halitawaacha salama

Njia pekee ni ccm kubadili gire hangani waje na mgombea mwingine nje ya hapo nchi itaandika historia mpyaa
 
Wakiendesha kampen bila kumdis mwenda zake itawapa credit zaidi
 
CHADEMA imeandaliwa imepikwa imikwiva ipo tiyari kuwaongoza watanzania kutoka utumwani mwa CCM.
 
nawashauri chadema, changamkieni fursa, hata wizi kuna siku Mungu huwa anaingilia kati mtu akaiba kwako halafu akarudishia kwako vilevile akifikiri amehifadhi kwake. the Lord will confuse them, watachanganyikiwa kabisa.
 
nahofia CCM kong'oka kwa aibu.unaporuhusu mikutano ya hadhara wakati hauko smart kujibu hoja sijui walifikiria nini.au watakuja kusema kuwa nchi ina wenyewe kama tulivyoambiwa na NAPE kuwa CCM ina wenywe na mwengine akasema wema hawafi .
sasa kama hoja ya DP world unaijibuje hata kama wewe ungekuwa ccm? mimato itakuwa inakutoka tu unazunguruka huna hata la kusema.
 
Tumtumainie Mungu,
wanasema asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu. Watanzania wamejifunza umuhimu wa wabunge wa upinzani, kipindi wapo mle ndani kina sugu, lema, mbowe, tundu, msigwa na wengine palikuwa panachimbika walau. wamekuwepo ccm wote nchi inabaki inaamuliwa kwa mawazo ya kina msukuma na kibajaji. the whole fate of the country ipo mikononi mwa ndiooooooooooooo, na hakuna wa kusema hapana. Mpina amejitahidi weee wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ