Hakuna mitazamo tofauti. Lisu anabainisha mapungufu katika maridhiano. Anabainisha ujanja ujanja wa CCM katika maridhiano. Huko ndiko kutofautiana?Uhuru wa habari shakani.
Kwani mwananchi si wameandika ukweli kuwa Mbowe na Lisu Wana mtazamo tofauti kuhusu maridhiano.
Au nyie hamlioni Hilo?
Na hayatakuja yatimie[emoji419][emoji375]Haya ndio matamanio ya kila mwanaccm.
Very correct! Waandike wanachokitaka KWA RAHA ZAO, LAKINI Waandike ukweli na si uongo. Ukiandika kuwa Lisu alipigwa risasi, ni true fact and you can prove it.Mkuu sipingi angalizo lao, lakini kulingana na uhuru wa vyombo vya habari huwezi kuwazuia kuandika wanachotaka.
Kwani Mbowe na Tundu Lisu kutofautiana ni dhambi?Mtu akisema UONGO unamkemea, ila humkatazi kuandika anachokiamini! Unamkemea asiandike uongo. Unamkemea asitunge uongo akauandika
Si dhambi, ila haiko hivyo!Kwani Mbowe na Tundu Lisu kutofautiana ni dhambi?
Mkuu hao waandishi wameshalemazwa na mfumo CCM, anachosema mwenyekiti wao kila mmoja anafuata hata kama haamini. Sasa wanapoona Mbowe na Lisu kwa baadhi ya maeneo wanapishana kauli, kwao ni mgogoro na sio demokrasia.Very correct! Waandike wanachokitaka KWA RAHA ZAO, LAKINI Waandike ukweli na si uongo. Ukiandika kuwa Lisu alipigwa risasi, ni true fact and you can prove it.
Imeqndikwa humu kwa wiki sasa. Tulianza mpaka kujadili majukwaa duhHawa wametoa hii habari kwa maelekezo maalum
Uongo upi?Mtu akisema UONGO unamkemea, ila humkatazi kuandika anachokiamini! Unamkemea asiandike uongo. Unamkemea asitunge uongo akauandika
Kukemea maana yake nini?! na kwanini yakemewe? au hamtaki Chadema iandikwe tofauti na vile mnavyopenda?nimesema wayakemee, sikusema wayakataze wasiandike, elewa mantiki! Mtu akisema uongo unaukanusha. Silence mens consent
Una uhakika hawakujadiliana na chama chake? ndio uongo huo, kuandika hisia.....tena hisia za kuchonganisha watu....Mbowe alifanya kosa kubwa sana kukubali kwenda Ikulum bila kujadiliana na chama chake kwanza.
Kukemea UONGO, siyo ukweli ulioandikwa. Ukimpiga Lisu risasi, Mwananchi wakiandika huwezi kuwakemea. Wakiandika kuwa Lisu alijipiga Risasi, lazima uwakemeeyakemewe?
Kupishana na mwenyekiti hadharani ni MigogoroMkuu hao waandishi wameshalemazwa na mfumo CCM, anachosema mwenyekiti wao kila mmoja anafuata hata kama haamini. Sasa wanapoona Mbowe na Lisu kwa baadhi ya maeneo wanapishana kauli, kwao ni mgogoro na sio demokrasia.
Mbowe: Asubuhi Nilikuwa Mfungwa Jioni nikawa IkuluUna uhakika hawakujadiliana na chama chake? ndio uongo huo, kuandika hisia.....tena hisia za kuchonganisha watu....
Hakatazwi mtu /gazeti/ kitabu kuandika anachokitaka, lkn kiwe cha ukweli. Hakatazwi mtu kufanya logical analysis, lakini usifanye illogical /misleading analysis of issues, hasa kama wewe ni mtegemewa wa kuandika researched issues.
If a=B and B=C, then A=C. This is a logical deduction that is true, short of that unaandika illogical/misleading conclusion/deduction...
Ndio uandishi wa habari wa ukanjanja, kuuza gazeti. Lisu anabainisha mapungufu katika maridhiano, huyu anesema wanapingana/wametofautiana. Kutofautiana siyo dhambi, ila si kweli mpaka leo hii, hawajatofautiana.Hicho kichwa cha habari cha gazeti la Mwananchi hakina tatizo, tatizo lipo kwenu kwa mahaba yaliyopitiliza mliyobeba kwa hicho chama.
SISI TUNATAKA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI, SASA WEYE UNASEMA CHADEMA TUKEMEE TENA VYOMBO VYA HABARI?Yakemeeni magazeti haya uchwara msiyape nafasi bila kukanusha upuuzi kama huu.
Content za mikutano yenu yote, Sauti mnazopiza kuhusu Katiba Mpya, wameona hili ndilo la kuwataarifu wananchi? Wakemeeni Erythrocyte
View attachment 2634029
Ni kweli kwani wakiandika hivyo ni uongo? Ni ukweli mtupu! True fact!Mbowe: Asubuhi Nilikuwa Mfungwa Jioni nikawa Ikulu
Hotuba zote za Mbowe hakuwahi kusema alifanya kikao, au kuomba ridhaa ya chama kabla ya kwenda Jumba jeupe.Una uhakika hawakujadiliana na chama chake? ndio uongo huo, kuandika hisia.....tena hisia za kuchonganisha watu....
Hakatazwi mtu /gazeti/ kitabu kuandika anachokitaka, lkn kiwe cha ukweli. Hakatazwi mtu kufanya logical analysis, lakini usifanye illogical /misleading analysis of issues, hasa kama wewe ni mtegemewa wa kuandika researched issues.
If a=B and B=C, then A=C. This is a logical deduction that is true, short of that unaandika illogical/misleading conclusion/deduction...
Tukemee kuandika uongo/hisia. Ukiandika UKWELI hakuna atakayekukemea. hata ukiandika positive UONGO utakemewa. Kwamba tanzania ni developed country, utakemewa kwa kuandika uongo ingawa ni "positive" postTUKEMEE
ndiyo point yangu. Mtu akisema uongo unamkemea, then unasema ukweli ulivyo/msimamo wako.Kuliko kuyakemea,wangetoka waeleze ukweli