Watenda dhambi ni wengi sana kama maandiko yanavyosema, Njia ya motoni ina watu wengi. Wafanyakazi wa tume, wasimamizi na wanasiasa asilimia kubwa Wana majina mazuri ya dini zao, lakini wanatimiza andiko lisemalo "Shina la mabaya ya kila aina ni kupenda pesa" hawana hofu ya Mungu kabisa. Lakini naamini Mungu atawashughulikia Kwa namna wasiyojua. Waendelee tu kuwadhulumu watu wanaosimama kutwa nzima kuwapigia watu kura halafu mtu unamuibia muda wake huku ukijua unadhulumu. MUNGU ANAWAONA.