Pre GE2025 CHADEMA mtaenda kwenye uchaguzi Tena ili mje kulalamikia Tume?

Pre GE2025 CHADEMA mtaenda kwenye uchaguzi Tena ili mje kulalamikia Tume?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Wao wanashiriki halafu baadae wanakuja kulalamika tume sio huru mara vyombo vya dola full tafrani.

Tanzania hakuna uchaguzi ila kuna maigizo ya upigaji kura.
 
Wao wanashiriki halafu baadae wanakuja kulalamika tume sio huru mara vyombo vya dola full tafrani.

Tanzania hakuna uchaguzi ila kuna maigizo ya upigaji kura.
Watenda dhambi ni wengi sana kama maandiko yanavyosema, Njia ya motoni ina watu wengi. Wafanyakazi wa tume, wasimamizi na wanasiasa asilimia kubwa Wana majina mazuri ya dini zao, lakini wanatimiza andiko lisemalo "Shina la mabaya ya kila aina ni kupenda pesa" hawana hofu ya Mungu kabisa. Lakini naamini Mungu atawashughulikia Kwa namna wasiyojua. Waendelee tu kuwadhulumu watu wanaosimama kutwa nzima kuwapigia watu kura halafu mtu unamuibia muda wake huku ukijua unadhulumu. MUNGU ANAWAONA.
 
tunasubiri watakaposhiriki, msisahau kuwarushia matusi kama mulivyowarushia ACT mana muliwaita CCM B kisa wameshiriki chaguzi.
 
Back
Top Bottom