CHADEMA mtawaambia nini wana Mwanza kuhusu Hayati Rais Magufuli

Kelele zote kumbe Kanda ya ziwa mko million 16 ilihali nchi Ina watu million 60. Alafu Kanda ya ziwa sio wasukuma pekee mfano Mara na Kagera maeneo ya upinzani hata 2015 yalimkataa JPM so usiwarundike na wasukuma. Kingine huwezi shinda kwa kutegemea 25% ya kanda ya ziwa ilihali Kanda zingine Zina 75% combined.

Mnaikuza sana Kanda ya ziwa kuliko uhalisia hivi hujiulizi upinzani ulipataje 42% 2015 If all haikuambulia kitu Kanda ya ziwa?
 
Kunywa maji na nyomi hill LA DJ
 
Attachments

  • IMG_20230121_161122.jpg
    IMG_20230121_161122.jpg
    77.5 KB · Views: 4
Mnaikuza sana Kanda ya ziwa kuliko uhalisia hivi hujiulizi upinzani ulipataje 42% 2015 If all haikuambulia kitu Kanda ya ziwa?
Sababu ya EL effect na wakati huo huo CDM ilikuwa na nguvu hasa Mwanza.Baada ya JPM kuwaonyesha nini maana ya uongozi Kanda ya Ziwa 2020 huko huko Kanda ya Ziwa uhalisia ulijionyesha.
 
Hoja yangu ni kwamba kama upinzani ulipata 42% bila Kanda ya ziwa itakuwaje 2025 ambapo mgombea wa CCM sio tu si wa Kanda ya ziwa ila sio mTanganyika kabisa!!

Meaning going ahead kura ya 2025 haitaamuliwa na ukabila maybe udini au umaarufu wa chama hivyo it's obvious Kanda ya ziwa itarudi upinzani.

Nb: 2020 sio kipimo kizuri maana uchaguzi haukua huru na haki so haiwezi kutupa uhalisia mfano misungwi eti turnout ilikua 100% na WOTE wakampigia JPM mind you hakukua na uchaguzi wa mbunge na kata zaidi ya nusu walishakua wamepita bila kupingwa!!
 
MATAGA Mama kawasupprise kuruhusu mikutano.Naona kama mmepagawa hivi!🤣🤣
 
Back
Top Bottom