Ki ukweli kutokana na uhuni unaofanyika kwenye uchaguzi mkuu hasa wizi wa kura nimeapa kutokuja kupiga kura tena.
Mimi nimpenda demokrasia kwamba napenda nione nchi hii inakuwa na utaratibu mzuri kuruhusu hata upinzani kuongoza nchi.
Kwa mfumo huu wa uchaguzi naona Tundu Lissu ana uwezo wa kupambana na kila hujuma zinazoweza kuratibiwa na chama tawala.
Kiongozi mkuu Mbowe naona yeye asapoti Tundu Lissu kwenye hiki kinyang'anyiro cha urais kwa sababu siasa za jino kwa jino naona zimeshamtupa mkono. Pia tuhuma za ufisadi na kulambishwa asali zinamuondolea sifa ya kuaminika kwa wapinzani naona anaweza kukubali kuwapa ushindi ccm kirahisi sana.
Kwa nafasi ya mgombea mwenza wa CHADEMA napendekeza, apitishwe MMAMA mmoja wa kiislamu ili kubalasi upinzani kutoka kwa wananchi wapiga kura kwa sababu najua hiyo ndio kete ccm watakayoitumia sana kwenye uchaguzi wa 2025.
Hivyo mchakato wa kumpata Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA ufanyike haraka ili wananchi tujue tunajiandikisha kupiga kura au lah. Siwezi kwenda kuwapigia kura watu wanaopiga makofi tu bungeni