Nyie endeleeni kibwabwaja jf ila Wapiga kura Hawa hapa ππChadema mnatakiwa kueleweka kwa wapiga kura wako Tanzania sio balozi au jumuiya ya kimataifa au vyombo vya habari vya kimataifa mnatakiwa kueleweka zaidi kwa wapiga kura walioko Tanzania sio wamarekani,wabelgiji nk au mabalozi wa nchi zao au vyombo vya habari vya kimataifa hawapigi kura hao
Safi sana wakati Chadema wanaenda balozini ,balozi za nje na jumuiya za kimataifa CCM wanaenda kwa wananchi wapiga kura kutatua kero zao
Waambie hivi watawndelea kibwabwaja mitandaoni humu jf na kusema wanakubarika ila hakuna Mtanzania mpumbavu atachagua maneno badala ya vitendo.Safi sana wakati Chadema wanaenda balozini ,balozi za nje na jumuiya za kimataifa CCM wanaenda kwa wananchi wapiga kura kutatua kero zao
Safi sana CCM inatatua kero za wapiga kura kwa vitendo sio kwa matamko au maandamano au barua kwa balozi au jumuiya za kimataifa au press conference na media za kimataifaWaambie hivi watawndelea kibwabwaja mitandaoni humu jf na kusema wanakubarika ila hakuna Mtanzania mpumbavu atachagua maneno badala ya vitendo.
Wapiga ni Hawa hapa ππ
View: https://www.instagram.com/p/C_yeI6PI1RT/?igsh=czNiYjN6Z2IxM2s0
Hao ni wapigakura wa CHADEMA sema kura zao zinaibiwa.Wapiga kura