Pre GE2025 CHADEMA mueleweke kwa wapiga kura walioko Tanzania sio balozi na Jumuiya za Kimataifa hawapigi kura hao

Pre GE2025 CHADEMA mueleweke kwa wapiga kura walioko Tanzania sio balozi na Jumuiya za Kimataifa hawapigi kura hao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Shotocan

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2023
Posts
6,650
Reaction score
12,711
CHADEMA mnatakiwa kueleweka kwa wapiga kura wako Tanzania sio balozi au jumuiya ya kimataifa au vyombo vya habari vya kimataifa mnatakiwa kueleweka zaidi kwa wapiga kura walioko Tanzania sio Wamarekani, wabelgiji nk au mabalozi wa nchi zao au vyombo vya habari vya kimataifa hawapigi kura hao
 
Back
Top Bottom