Elections 2010 CHADEMA Musoma Mjini wanashangilia ushindi?!

Elections 2010 CHADEMA Musoma Mjini wanashangilia ushindi?!

Kieleweke

Member
Joined
Jun 23, 2009
Posts
79
Reaction score
8
Jamani,

Hivi humu JF hakuna walioko Musoma watujuze. Dakika 10 zilizopita nimepata message kuwa wana-CHADEMA huko jimbo la MUSOMA MJINI wameshaanza kumwagiko mtaani kwa cherekochereko.

Dakika moja iliyopita nimekata simu kuhakikisha kwa jamaa yangu aliyeko Musoma anipe chochote anachokiona.

Alicyonijibu anasea yeye yuko nyumbani lakini kwa nje ni kweli anasikia watu wakipita na kushangilia wakisema Peopleeeeeeees.....Poweeeeeeer!

Hebu saidieni kupigia simu zaidi maana phonebook yangu kwa watu wa Musoma nimepmata huyo tu na wengine wamezima simu.
 
Back
Top Bottom