CHADEMA muwe mfano wa kuheshimu Demokrasia

CHADEMA muwe mfano wa kuheshimu Demokrasia

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Screenshot_20230212-155418.jpg
 
Matumizi mabaya ya dola.

CHADEMA katiba yake ipo ktk ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa sasa msajili kutaka katiba ya vyama vingine vifanane na katiba, kanuni, utamaduni na kawaida ya chama dola kongwe CCM ni ofisi hiyo ya msajili kuanza kuwa tawi la jumuiya ya CCM.

Msajili anatakiwa kuheshimu katiba za vyama vyote na siyo msajili kugeuka kuwa msemaji wa propaganda za CCM.
 
Hii ofisi ya msajili wa vyama sijawahi kuielewa.
 
Hujaelewa?
Kama mpaka sasa hujatambua changamoto ya thread yako bas kujua ni ngumu sana! Jenga hoja juu ya kauli ya Naibu Nyahoza.. umesema CDM wawe mfano, how? Je wanachangamoto zipi juu ya demokrasi? Weka hoja yako sawaswa!
 
Mbowe miaka 30 mwenyekiti
 
Mbowe mwenyekiti wa milele na ukilisema hili wanaCHADEMA hawako tayari kulisikia. Yaani Mbowe ndo Magufuli wa CHADEMA.
 
Back
Top Bottom