Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Waandamaji wamesema watabeba Biblia na Quran.Maandamano bila kibali ni fujo π
RC amewaita waende mezani keshoWaandamaji wamesema watabeba Biblia na Quran.
Wapigeni waandamaji waliobeba Biblia na Quran kama wanafanya fujo alafu tuone Mungu atawafanya nini mwaka huu.
TANU walipokuwa wakifanya maandamano na mikutano walikuwa wanaomba kibali kwa nani?Maandamano bila kibali ni fujo π
Hivyo sio vitabu vya kuvunja sheris hata wakibeba watakuwa kama wamejitwika tu gazeti la udakuWaandamaji wamesema watabeba Biblia na Quran.
Wapigeni waandamaji waliobeba Biblia na Quran kama wanafanya fujo alafu tuone Mungu atawafanya nini mwaka huu.
Unafikili wanao andamana nchi nyingne hizo barabara ndio Kwaajili ya kazi hiyo eti,Kama wataandamana porini labda
Lakini kama ni kwenye barabara hizi ambazo zimejrngwa kwa ajili ya shughuli za kiuchumi hamna
Hizo barabara kwa sheria za usalama barabarani kwa mujibu wa sheria iliyopitishwa na bunge ni kwa ajili ya magari sio kwa watembea kwa miguu au waandamanaji
Wapumbavu hao usilinganishe na TanzaniaUnafikili wanao andamana nchi nyingne hizo barabara ndio Kwaajili ya kazi hiyo eti,
Nguvu ya umma aishindwi ni swala la muda tu.
utajiona mjinga wa kwanza kutokea dubiani kwa maneno yako hayo baada ya jamaa kuja kugundulika alifichwa na mwanamke siku ya valentine huku nyie mnaropoka maneno utafikiri hiyo midomo hamuitumii kulia chakula sijui mnatumia kunyonya madude?Hongera sana Wananchi na Chadema Mwanza. Tuseme sasa imetosha. Huu uonevu umezidi kwa kweli.
Wakinga mmeendelea sana Siku Hizi mnamiliki Kariakoo πππAtakuwa alikuwa anatembea na mke wa mtu
Kwa hiyo wewe ndo unatangaza vita?Hivyo sio vitabu vya kuvunja sheris hata wakibeba watakuwa kama wamejitwika tu gazeti la udaku
Vita haina macho haioni Biblia waka Quran
Kama nchi inaongozwa kwa Sheria tuambieni mmemteka huyo kijana wa Bavicha kwa mujibu wa Sheria ipi ya nchi?Hizi hoja za kuzua bila ushahidi na kutuhumu taasisi za serikali bila chembe ya ushahidi FFU wakiwavunja miguu msije kulia lia humu
Nchi inaendeshwa kwa kuzingatia Sheria
Mwenye ushahidi aende mahakamani sio barabarani
Weka ushahidi wa tuhuma zako enzi za kuropoka ropoka tu bila kuwa na ushahidi hazipo tenaKama nchi inaongozwa kwa Sheria tuambieni mmemteka huyo kijana wa Bavicha kwa mujibu wa Sheria ipi ya nchi?
Mahakama ipi, hii yenye kesi ya Mdee mwaka wa nne huu?Kama una ushahidi peleka mahakamani acha porojo
Au hii ambayo dhamana tu ya Dr. Slaa inaenda kuchukua mwezi wa 2 kufanya maamuzi!Mahakama ipi, hii yenye kesi ya Mdee mwaka wa nne huu?
πIla hii nchi ngoja tu ninyamaze nisije kutukana nikaonekana wa hovyo, hivi birthday ya Rais watu nao wanaandamana kweli? Inasikitisha
Usiichukulie poa mahakama siku ukiangukia kwenye mikono yao utaita maji mmaMahakama ipi, hii yenye kesi ya Mdee mwaka wa nne huu?
Kwa kukomoa wako usemavyo, ila si katika kutenda haki.Usiichukulie poa mahakama siku ukiangukia kwenye mikono yao utaita maji mma
SafiiChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria kimekusudia kufanya maandamano ya amani kwenda kukutana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda kushinikiza kutoweka kwa Katibu wa Baraza la Vijana wa chama hicho Mkoa wa Mwanza Amani Manengelo.
Akizungumza leo Februari 18, 2025 na waandishi wa habari Katibu wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Zakaria Obad amewataka wanachama na wafuasi wa chama hicho kujitokeza kwa wingi katika maandamano hayo ambayo yanatarajia kuanza saa mbili asubuhi.
View attachment 3240748
- Soma Pia: Amani Manengelo, Katibu wa BAVICHA Mkoa wa Mwanza, ameripotiwa kutekwa na kupotea tangu tarehe 14.02.2025 huko Misungwi
- Pre GE2025 Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025