Pre GE2025 CHADEMA Mwanza kuandamana kesho Februari 19, 2025 hadi ofisi ya Mkuu wa Mkoa kupinga mauaji na utekaji wa viongozi wao

Pre GE2025 CHADEMA Mwanza kuandamana kesho Februari 19, 2025 hadi ofisi ya Mkuu wa Mkoa kupinga mauaji na utekaji wa viongozi wao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Waandamaji wamesema watabeba Biblia na Quran.

Wapigeni waandamaji waliobeba Biblia na Quran kama wanafanya fujo alafu tuone Mungu atawafanya nini mwaka huu.
Hivyo sio vitabu vya kuvunja sheris hata wakibeba watakuwa kama wamejitwika tu gazeti la udaku
Vita haina macho haioni Biblia waka Quran
 
Kama wataandamana porini labda

Lakini kama ni kwenye barabara hizi ambazo zimejrngwa kwa ajili ya shughuli za kiuchumi hamna

Hizo barabara kwa sheria za usalama barabarani kwa mujibu wa sheria iliyopitishwa na bunge ni kwa ajili ya magari sio kwa watembea kwa miguu au waandamanaji
Unafikili wanao andamana nchi nyingne hizo barabara ndio Kwaajili ya kazi hiyo eti,
Nguvu ya umma aishindwi ni swala la muda tu.
 
Unafikili wanao andamana nchi nyingne hizo barabara ndio Kwaajili ya kazi hiyo eti,
Nguvu ya umma aishindwi ni swala la muda tu.
Wapumbavu hao usilinganishe na Tanzania
Tanzania tunajua umuhimu.wa barabara zetu kuwa ni kwa ajili.ya magari
 
Hongera sana Wananchi na Chadema Mwanza. Tuseme sasa imetosha. Huu uonevu umezidi kwa kweli.
utajiona mjinga wa kwanza kutokea dubiani kwa maneno yako hayo baada ya jamaa kuja kugundulika alifichwa na mwanamke siku ya valentine huku nyie mnaropoka maneno utafikiri hiyo midomo hamuitumii kulia chakula sijui mnatumia kunyonya madude?
 
Hivyo sio vitabu vya kuvunja sheris hata wakibeba watakuwa kama wamejitwika tu gazeti la udaku
Vita haina macho haioni Biblia waka Quran
Kwa hiyo wewe ndo unatangaza vita?

Mrudisheni huyo kijana wa watu. Huo udhalimu wenu unafika mwisho maana wananchi wakisema enough is enough hakuna wa kuwazuia
 
Hizi hoja za kuzua bila ushahidi na kutuhumu taasisi za serikali bila chembe ya ushahidi FFU wakiwavunja miguu msije kulia lia humu

Nchi inaendeshwa kwa kuzingatia Sheria
Mwenye ushahidi aende mahakamani sio barabarani
Kama nchi inaongozwa kwa Sheria tuambieni mmemteka huyo kijana wa Bavicha kwa mujibu wa Sheria ipi ya nchi?
 
Kama nchi inaongozwa kwa Sheria tuambieni mmemteka huyo kijana wa Bavicha kwa mujibu wa Sheria ipi ya nchi?
Weka ushahidi wa tuhuma zako enzi za kuropoka ropoka tu bila kuwa na ushahidi hazipo tena

Acha utoto weka ushahidi au peleka mahakamani

Siasa za uzushi zisizo na ushahidi mwisho wake ulikuwa kwenye huo uchaguzi wenu wa Chadema mlikomzushia mambo kibao Mbowe bila chembe ya Ushahidi

Huku nje mtakoma kwa kweli hiyo techiniw8e haitafanya kazi
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria kimekusudia kufanya maandamano ya amani kwenda kukutana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda kushinikiza kutoweka kwa Katibu wa Baraza la Vijana wa chama hicho Mkoa wa Mwanza Amani Manengelo.

Akizungumza leo Februari 18, 2025 na waandishi wa habari Katibu wa CHADEMA Kanda ya Victoria, Zakaria Obad amewataka wanachama na wafuasi wa chama hicho kujitokeza kwa wingi katika maandamano hayo ambayo yanatarajia kuanza saa mbili asubuhi.

View attachment 3240748
Safii
 
Hii ni taarifa kwa mujibu wa clip inayopatikana katika akaunt ya X ya Hilda Newton.

Sababu ni kushikiza kuachiwa kwa kiongozi wao Amani Manengelo anaedaiwa kutekwa.

Maandama yataanza saa 2 asubuhi kuelekea Ofisi ya Mkuu wa Mkoa ambae ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa.

Wanasema waandae magereza za kutosha,vyakula vya kutosha, risasi n.k.

Wanasema hata wakiwa 20 wataandamana, wakiwa 100,000 wataandamana n,k.
 
Back
Top Bottom