Sina. Shaka na uwezo wa kujenga hoja kwa bwana lissu kwangu ni mmoja wa wanasiasa bora wa chache wa dunia ninaowakubali na kuwaheshimu mbowe akiwa mmoja wapo.
Wanachadema mlianza kupoteza ladha pale mlipoanza kuugeuza ushetani wa kipindi chote mlichokuwa mnaupinga lakini ghafra sana ule ushetani mliokuwa mnaupinga mkaugeuza na kuupamba then mkataka ule ule ushetani kama mlivyokuwa mnajiupinga mwaka 2007 ambao ulipelekea mmoja wa watu kuachia ngazi mwaka 2015 ukawa Frontline kutaka kuchukua nchi.
Kuna watu wengine ni wanachadema hawana cognitive reason kama yule bwana mwandishi wa vitabu wao ni bendera fuata upepo but all in all mbowe Amistay strong for almost 30 year kiukweli yeye ni shujaa wa mapambano.