Chadema n2n (nyumba kwa nyumba) itasaidia sana uchaguzi 2025

Chadema n2n (nyumba kwa nyumba) itasaidia sana uchaguzi 2025

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Chadema apange safu ya kuzunguka kijiji kwa kijiji kama ifuatavyo
1. Singida na Dodoma- Tundu Kisu
2. Tanga, Pwani na DAR es salaam- Freeman Mbowe
3. Mwanza na Mara -John Heche
4. Lindi na Mtwara Dr. Slaa
5. Arusha na Kilimanjaro Godbles Lena
6. Morogoro na Iringa John Mnyika na Mwabukusi
7. Niombe na Ruvuma- James Mbatia na Catherine
8. Manyara Salumu Mwalimu
9. Tabora na Shinyanga Ben Kigaila na Peter Madeleka
10. Kigoma Na Geita Ezekia Wenje, Tundu Kisu na John Pambalu
11. Kagera - Mwaipaya na Freeman
12. Zanzibar waunganishe nguvu once
13. MBEYA na Songwe apewe Sugu

Katika safu hizi waruhusu wanachama wanaotaka kugombea Ubunge na Udiwani wajitokeza kuwa sehemu ya mkakati wa Chadema H2H (Chadema house to House). Wasifungwe na utaratibu wa CCM wakunyimwa watu kujitangaza waruhusu vijana waingie kwenye majimbo wananchi wawafahamu.
 
Naunga mkono hoja 💯💯💯💯💯🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️✌️✌️✌️✌️
 
Aache kupaa na chopa azururee vijijini .
 
Back
Top Bottom