Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo: Hoja saba zinazowafanya Watanzania wasiwe tayari kumwaga damu kwa maandamano

Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo: Hoja saba zinazowafanya Watanzania wasiwe tayari kumwaga damu kwa maandamano

Sababu za kuandamana ndiyo huwa zinaleta mashiko kwa watu kuwaunga mkono.

Waangalizi wengi wa uchaguzi kwa Afrika Mashariki (EAC), na SADC, na hata Waangalizi wa ndani wamekiri kuwa uchaguzi ulikuwa wa huru na haki. Maraisi wengi wametoa pongezi nyingi za ushindi wa JPM.
Siamini kama una akili timamu mkuu
 
Sababu za kuandamana ndiyo huwa zinaleta mashiko kwa watu kuwaunga mkono.

Waangalizi wengi wa uchaguzi kwa Afrika Mashariki (EAC), na SADC, na hata Waangalizi wa ndani wamekiri kuwa uchaguzi ulikuwa wa huru na haki. Maraisi wengi wametoa pongezi nyingi za ushindi wa JPM.
Kwa akili yako kulikuwa na uchaguzi huru na wa haki?
 
Mbona huzungumzii utafiti juu ya ukwapuaji wa masanduku siku ya tukio pia uwepo wa karatasi zilizowekewa vyema wagombea wa chama cha mezani zilizokamatwa nje ya kituo kwenye mabegi ya watu?
Hilo siyo suala langu, ni sula la mgombea, kama mgombea huo ushahidi anao kwanini asiende mahakamani kudai haki yake? Sasa kama mgombea analalamika amekuta kura mahali halafu anazichoma moto (Halima Mdee), then anaishia kulalamika, unategemea nini?
 
Kabisa kwa maneno mdomoni wamekuwa kama CHIRIKU ila vitendo zero kabisa mkuu.

Niambie maandamano ya Mange yalifikia wapi?
Wameshaaambiwa hii ni wiki ya jeshi kusafisha njia na barabara kwa ajili ya sherehe za kuapisha kiongozi aliyechaguliwa na wananchi, lakini pia 9 december Watanzania wanasherehekea siku ya kupata Uhuru. Wasitusumbua, tumeshashinda , waendelee kutulia na wajipange tu kwa uchaguzi ujao.
 
Kwa akili yako kulikuwa na uchaguzi huru na wa haki?
Pangekuwa hapakuwa na uchaguzi wa huru na haki pangekuwa na utulivu uliopo leo? Sawa mapungufu huwa hayakosekani katika nchi zote Duniani (Hata Trump leo hii analia kule Marekani kwamba ana mashaka DEMOCRATIC watamuibia kura), kila anayeelekea kushindwa haachi kutoa sababu. Wahenga walisemaga "Mfa maji haachi kutapatapa".
 
CHADEMA na ACT-WAZALENDO: Hoja 7 Zinazowafanya Watanzania Wasiwe Tayari Kumwaga Damu kwa Kuandamana.

Vyama vya CHADEMA na ACT- Wazalendo vimekutana na kuwaambia waandishi wa habari eti kuanzia jumatatu wataanza maandamano yasiokuwa na kikomo kwa kile walichodai eti kuibiwa kura katika Uchaguzi uliofanyika Oktoba 27-28, 2020.

Maandamano hayo yasiyo halali wamepanga kuyafanya Tanzania Bara na Tanzania Visiwani.

Makala hii baada ya kufanya utafiti katika pande mbili za Muungano, bara na visiwani, inafafanua sababu za watanzania kutojihusisha na maandamano ya CHADEMA na ACT- Wazalendo.

Hoja ya kwanza:
Watanzania ni watu wa amani
. Hawataki kupoteza amani iliyoasisiwa na wazee wa Taifa hili chini ya Mwalimu Julius Nyerere na Mzee Abeid Amani Karume.

Hoja ya pili:
Watanzania walishiriki kupiga kura
na kuchagua washindi wa uchaguzi kwa ngazi zote za urais, udiwani na ubunge kwa hiyo hawaoni kwa nini waandamane wakati wao ndio waliowachagua washindi.

Hoja ya tatu:
Maendeleo
. Watanzania wote kwa sasa wanaendelea na shughuli zao za maendeleo na maisha ya kila siku yanaendelea vizuri na kuwafanya wapate mkate wao wa kila siku. Kwa mantiki hii maandamano hayatawalisha chakula na walishamaliza uchaguzi.

Hoja ya nne:
Watanzania kwa sasa wameshajua
kuwa CHADEMA na ACT- Wazalendo wana ajenda za kuuza rasilimali za nchi kwa mabeberu kwa hiyo hawako tayari kuuzwa nchi yao na utu wao.

Hoja ya sita:
CHADEMA na ACT- Wazalendo kukosa wagombea wenye mvuto na sera za maendeleo. Wagombea kama Babu Seif na Tundu Lissu wote ni wachumia tumbo na makuwadi wa mabeberu. Hawa sio chaguo la Watanzania.

Hoja ya saba:
Watanzania wenyewe wameamua kuchagua maendeleo sio vurugu.
Baadhi ya maendeleo hayo ni upatikanaji wa maji, umeme, barabara na mengine mengi wameshayafaidi kwenye muhula wa kwanza wa Rais Magufuli. Kwa mantiki hiyo hawahitaji majaribio ya uongozi wakati asali wameanza kuiramba.

Badala ya CHADEMA na ACT- Wazalendo kuhamasisha umwagaji damu katika taifa huru la Tanzania, watumie muda huu kujitathimini kwa nini hawakuchaguliwa na wananchi. Waache mihemko kwani damu waliyopanga kuimwaga haitawaacha salama.

View attachment 1617068

Utadhani kuandamana watu wote huwa wanataka kuandama huwa inatokea mtu anaekuhusu unasikia afia kwenye maandamano utapohisi nawewe kuwa nionezi ndipo nawewe unachukua hatua tuombe mungu isitokee wapendwa wetu kufia kwenye maandamano yanaweza kupanuka nakuwa makubwa sana
 
Sijaelewa hoja yako..

Wananchi watamwaga damu hasa kutokana na nini wakati ni maandamano ya amani?

Anaewamwaga damu zao ni nani wakati wanaandamana ku-express their displeasure ya kitu fulani?

Wamwagwe damu na nani hasa maana sijajua huyo anaemwaga wanadamu innocent damu zao ni nani to begin with?

Huyo anaemwaga watu wema damu zao kwa kuandamana kwa amani bila kumwingilia yeyote ni nani to begin with?

Huyo mwaga damu za watu ndio tatizo,na wala tatizo sio wananchi wanaotumia fursa na haki yao kikatiba kuonesha kutoridhishwa na mambo fulani wanayofanyiwa!

Wananchi hawa:

-Sio wahalifu
-Sio wanyang'anyi
-Sio terrorists
-Sio majambazi
-Sio mafisadi
-etc

Hawana kosa lolote lile...sasa sijui huyo anaewamwaga damu zao uhalali huo anaupata wapi na kwa kosa lipi?Anaefanya kosa hauwawi,anashikwa na kupelekwa mahakamani..hii hoja ya kuwamwaga damu zao kwanza inatakiwa isiwepo kabisa....

With that only kuna tatizo mnalo tena kubwa sana....serikali ni always aggressor,na ni always killer of its own innocent citizens,and never the citizens!

Sasa,sema hivi,serikali ndio ITAUA wananchi wake wasio na kosa lolote!

Tatizo ni serikali na sio wananchi hata siku moja!
UKIWAONA HAWA KATIKA MAANDAMANO, ANDAMANA!!
---------------------------------

1. Ukimuona Dudley, mtoto wa kwanza na Freeman Mbowe na wadogo zake wakiongoza maandamano nawe andamana. Freeman Mbowe pekee hatoshi, yeye hawezi kupigwa risasi hata moja. Nafasi yake ya Uenyekiti wa Chama kikuu cha Upinzani nchini inamlinda, ni jicho la Dunia anatazamwa, hakuna risasi inayoweza kuelekezwa kwake hata moja. Pale Mkwajuni Kinondoni risasi ilimkwepa Mbowe ikamuua Akwiline Akwelina. Wazazi wake wanalia hadi sasa, hakuna kitu. Usipowaona watoto wa Freeman Mbowe usiandamane!!

2. Ukimuona Alicia Magabe na watoto wake wa damu andamana. Alicia ni mke wa Tundu Lissu ambae Urais wa Lissu unamhusu zaidi kuliko mimi na wewe. Ukimuona Tundu Lissu peke yake usidanganyike kuandamana. Lissu ndie aliegombea Urais kwa Chama kikuu cha upinzani akiungwa mkono na ACT Wazalendo, huyu ni icon ya uchaguzi, ndie mwanamkakati ktk maandano hayo. Dunia yote ipo kwake, akifa hakuna cha kujificha, mission INATIKI.

Hakuna Askari mpumbavu anaweza kulenga shabaha ktk mwili wa Lissu, risasi zitaelekezwa kwako. Utakufa na si ajabu usifahamike, taarifa zako hazitofika popote, utakufa kama Mbwa, utazikwa siku inayofuata ktk kabuli la futi mbili au usizikwe kabisa. Usipomuona Alicia na wanawe, usiandamane!!

3. Ukimuona Bi Fourtuna Salehe na Bi Aweina Sinani na watoto wao katika maandamano andamana. Hii ni familia ya Maalim Seif ambayo inasemwa kuwa imepelekwa Oman mafichoni tayari. Wanasema watu wameuawa Zanzibar lkn hakuna jina la mtoto wa Maalim Seif wala wa mtoto wa Jussa hata moja. Usiwe mjinga, hukuzaliwa kuwa chambo, hukuzaliwa kwa ajili ya Urais wa Maalim au Lissu. Wakiwa Marais wewe haitokusaidia chochote. Usipomuona mtoto wa Maalim Seif, wake zake na familia yake jilalie zako nyumbani hauna cha kupoteza.

4. Ukimuona Anna Bwana, Wiza na Josina ktk maandamano yaliyoitishwa na wewe ungana nao, andamana kwa moyo mkunjufu kabisa. Hii ni familia ya Zitto Kabwe, akiwa peke yake muache aendelee na kazi yake. Zitto Kabwe ni Kiongozi wa Chama cha upinzani (KC), ni jicho la Dunia hawezi kupigwa risasi taratibu za kuzuia maandamano zinamtambua na kumlinda. Usipomuona mke wake, watoto na ndugu zake wengine achana na kazi hiyo haina faida itakupeleka kuzimu bure.

5. Ukimuona Askofu Bagonza na mkewe, na watoto wake wote ktk maandamano andamana. Akiwa peke yake muombee kwa Mungu, usijiunge nae. Ukimuona Lema na watoto wake, Sugu na mke wake na watoto zake, Msigwa na wadogo zake kutoka Iringa, Heche na mkewe na watoto wake andamana.
Ukiwaona wao peke yao usiandamane, Ubunge na Urais wao hauna maana yoyote kwako. Maisha yako ni ya kwako peke yako, pambana!!
#USIANDAMANE!!
 
Hilo siyo suala langu, ni sula la mgombea, kama mgombea huo ushahidi anao kwanini asiende mahakamani kudai haki yake? Sasa kama mgombea analalamika amekuta kura mahali halafu anazichoma moto (Halima Mdee), then anaishia kulalamika, unategemea nini?
Mahakama zipi unazozungumzia hizo! Huoni aibu, ina maana utafiti wako haukuhusisha zile video zilizotrend mtandaoni ambapo napo mlijaribu kuzima ilhali yasemwa bwana mfalme anakubalika, hukuona mawakala kuzuiliwa vituoni na wengine kutekwa! Pia kwa awamu hii mihimili yote mitatu inakaliwa na mtu mmoja ! Na sasa ni siasa rasmi za chama kimoja hakuna "checks and balances" nani wa kumuhoji mfalme na kumkosoa akivuka mipaka?
 
Sijaelewa hoja yako..

Wananchi watamwaga damu hasa kutokana na nini wakati ni maandamano ya amani?

Anaewamwaga damu zao ni nani wakati wanaandamana ku-express their displeasure ya kitu fulani?

Wamwagwe damu na nani hasa maana sijajua huyo anaemwaga wanadamu innocent damu zao ni nani to begin with?

Huyo anaemwaga watu wema damu zao kwa kuandamana kwa amani bila kumwingilia yeyote ni nani to begin with?

Huyo mwaga damu za watu ndio tatizo,na wala tatizo sio wananchi wanaotumia fursa na haki yao kikatiba kuonesha kutoridhishwa na mambo fulani wanayofanyiwa!

Wananchi hawa:

-Sio wahalifu
-Sio wanyang'anyi
-Sio terrorists
-Sio majambazi
-Sio mafisadi
-etc

Hawana kosa lolote lile...sasa sijui huyo anaewamwaga damu zao uhalali huo anaupata wapi na kwa kosa lipi?Anaefanya kosa hauwawi,anashikwa na kupelekwa mahakamani..hii hoja ya kuwamwaga damu zao kwanza inatakiwa isiwepo kabisa....

With that only kuna tatizo mnalo tena kubwa sana....serikali ni always aggressor,na ni always killer of its own innocent citizens,and never the citizens!

Sasa,sema hivi,serikali ndio ITAUA wananchi wake wasio na kosa lolote!

Tatizo ni serikali na sio wananchi hata siku moja!
Waliwahi kuandamana wakati fulani, ikapelekea kupigwa risasi kwa Mwanafunzi wa NIT na akafa.

Ukweli ni wazi wanaandaana kwa sababu wameukosa ubunge, wangekuwa wameupata wangeandamana?

Hebu fikiria hoja zao za kuwataka wabunge na madiwani wa vyama vyao walioshonda kujiuzuru na kukataa nafasi walizopewa na wananchi kwa kigezo cha maamuzi namsimamo wa chama. Je, hiyo ni sababu sahihi? Hawa wabunge wamepiga kampeni kwa gharama zao, na kwa juhudi zao. Kitu kingine wamechaguliwa na wananchi wao kwa kuwaamini ili wawatumikie. Wanapokuwa kwenye majimbo yao au kata zao hawatumikii chama na wala hawatatui kero za vyama vyao maana wapo kwa ajili ya wancnhi kwanza waliowachagua. How come wawawekee restriction?

Naamini Zitto, Mbowe, Msigwa, Lema, Mdee na wengi wao wangeupata huo ubunge wasingekuja na hoja za kuwazuia wenzao wasiende bungeni kuwawawkilisha wanachi wao.

kwa upande wa TL ndiyo kabisa, suala la kushinda lilikuwa ni kitu kigumu sana kwa sababu Sera zake hazikuendana na matakwa ya wananchi, mgombea unakuwa na sera za kuweka madini rehani kwa wazungu ili ujenge miundombinu, unakuwa na sera ya kuondoa vitambulisho kwa wafanya biashara wadogo bila kusema njia yako mbadala, unakuja na sera ya kuruhusu wakulima na wafugaji kutumia mbuga za wanyama kwa madai kuwa utawalinda, unakuja na mada kuwa hizi Flyover, madaraja ya salenda, na barabara za njia nane za miji mikubwa kama Dar es salaam hutazinjenga badala yake utazipeleka vijijini, kwamba TL anadhani vijijini kuna foleni kama Dar?

Unakuwa na mgombea anasema hataki maendeleo ya vitu na badala yake anataka amendeleo ya watu, yaani hajui hata maana ya maendeleo ya watu nini. Mgombea wa Urais Zanzibar kupitia ACT Wazalendo, Maalim Seif Sharif anasema ataleta helicopter kwa ajili ya kulinda samaki wa baharini, Are we serious?

Unakuwa na mgombea anadai kuleta ushoga Tanzania, pamoja na wafuasi wake wote wansema wao wamesoma sheria na watasimama kutetea haki za binadamu wote ikiwa ni pamoja na kutete haki za mashoga (Tundu Lissu, Fatma Karume, Robert Amsterdam).

Wabunge wao walikimbia bungeni kisa korona, wagombea walipinga suala la maombi ya nchi nzima kipindi cha korona wakiongozwa na Tundu Lissu alibeza sana suala la kumuomba MUNGU. How come watu wamchague mtu ambaye anaweka sana mbele usomi wa sheria kuliko MUNGU?

Angalia pia waliokuwa nyuma ya Tundu Lissu, watu ambao walikuwa wanamsemea Tundu Lissu ni kama akina Mwamakula (aliyefukuzwa moravian church, Ponda anayeeneza udini kwa kudai kuwa waislamu wote watampigia kura Tundu Lissu), bado tu mnadai mmeibiwa kura ? kwa hoja zipi, kwa vigezo vipi?

WAANDAMANE WANAVYOANDAMANA LAKINI WATAVUNA WANACHOPANDA.
 
Bro

Acha kutupangia watu wa kuandamana..

Hao ni watu binafsi wenye utashi wao binafsi..Mbowe hawezi lazimisha mtu binafsi Dudley aandamane..Kila mtu ana imani yake

Imani ya Mbowe sio lazima iwe imani ya Dudley..hawa ni watu wawili tofauti wenye utashi toafauti na imani tofauti but it happens wana uhusiano wa kifamilia

Yaani una hoja za kipumbavu mno....yaani hawa watu wazima binafsi unataka mmoja alazimishe mwingine aandamane na yeye hata kama beliefs zake ni tofauti na mwenzake sababu tu eti mmoja ni baba au mama au mjomba wa mwenzake?

Mataga mna reasoning ya hovyo mno!

Mbowe ni Chadema ila Dudley anaweza kua CCM au ACT,etc..,.huwezi pangia mtu binafsi what to believe in!

Yeye Mbowe na mimi na yule tunaamini ndani ya Demokrasia na tunaona heri tufe kwa kuandamana na kuipigania,ni imani yetu ila hatuwezi wasukumizia ndugu zetu huenda wakawa na imani tofauti na sisi!

Sasa analogy yako ni ugoro juu ya ugoro kabisa!

Kila mwenye imani na demokrasia in his or her concious ataandamana,halazimishwi mtu aamini tunachoamini...ebo!
Sasa kama hawezi kuandamana na mtoto wake barabarani kwa nini aje kuhamasisha watoto na vijana wa wengine waende kuandamana?

Watanzania wengi wanaamini hapana sababu za kuandamana. Tanzania ina wananchi kama 60 milioni, waliowapigia kura wapinzani nchi nzima hawazidi milioni 3, na waliopigia CCM kura ni milioni 12+, sasa hata kama wanaandamana hao wafuasi wanawapata wapi?

Viongozi wakuu wa dini hawapo tayari maana wote walikuwa upande wa JPM, the same wafanya biashara, wafugaji, wana vyuo, wanafunzi, n.k

Acheni kujiaibisha, myakuja kuumbuka nyie.
 
Mahakama zipi unazozungumzia hizo! Huoni aibu, ina maana utafiti wako haukuhusisha zile video zilizotrend mtandaoni ambapo napo mlijaribu kuzima ilhali yasemwa bwana mfalme anakubalika, hukuona mawakala kuzuiliwa vituoni na wengine kutekwa! Pia kwa awamu hii mihimili yote mitatu inakaliwa na mtu mmoja ! Na sasa ni siasa rasmi za chama kimoja hakuna "checks and balances" nani wa kumuhoji mfalme na kumkosoa akivuka mipaka?
Suala la upinzani kushindwa ni uzembe wao, walitakiwa kujipanga vya kutosha maana serikali ya awamu ya tano kwa sehemu kubwa imefanya vitu vizuri ambavyo kwa sehemu kubwa vimegusa mioyo ya watu. Hoja za wapinzani ilikuwa ni ufisadi, leo hii suala la ufisadi lipo kwa % chache sana. Sualala umeme na maji vimetatu;iwa kwa sehemu kubwa, sula la barabara za lami limezidi kutatuliwa, suala la mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu bajeti imeongezeka, wanafunzi wa shule ya msingi mpaka sekondari wanalipiwa na serikali (Serikali inalipa kwa mwezi bilioni 30, na kwa mwaka trilioni 1). Bajeti ya afya imepanda kutoka bilioni 30 mpaka bilioni 370 kwa mwaka, ulinzi na usalama umeongezeka, na mengine mengi...

Itoshe kusema WATANZANIA WALIMUELEWA SANA MAGUFULI, NA HATA WAGOMBEA WENGI WA UBUNGE NA UDIWANI WALIBEBWA SANA NA NYOTA YA MAGUFULI. IMANI YA WATANZANIA KWA MAGUFULI IMELKUWA NI KUBWA SANA.
 
Siandamani kwa sababu Zitto kakosa ubunge!

You get all this wrong you lunatic!

Nimeshuhudia wizi wa kura kwa macho yangu....nina conviction ndani ya moyo wangu kua tukienda hivi demokrasia yetu inakufa na sisi kama watu tutakua tuna cease to exist morally..

Ni jukumu langu kuandamana just because of this!

Hao wote wamenyang'anywa ubunge wao kwa kuibiwa kura zao,ushahidi upo wazi na mimi binafsi nimeushuhudia

Wao wanajua jinsi ya kupata ubunge zao through mahakama,etc....ila mimi sina interest na hayo ya ubunge,etc..mimi naandamana sababu moyo wangu umeshuhudia nonsenses za ajabu kabisa!

Tunaandamana,tunauwawa sisi,wewe unapaniki nini aiseee?

Wewe kaa nyumbani kula maisha yako,sijajua unapaniki nini na sisi hasa!
Aisee! hujakatazwa kuingia barabarani, siyo mbali, ni kesho tu tarehe 2 jumatatu, just go go go!
 
CHADEMA na ACT-WAZALENDO: Hoja 7 Zinazowafanya Watanzania Wasiwe Tayari Kumwaga Damu kwa Kuandamana.

Vyama vya CHADEMA na ACT- Wazalendo vimekutana na kuwaambia waandishi wa habari eti kuanzia jumatatu wataanza maandamano yasiokuwa na kikomo kwa kile walichodai eti kuibiwa kura katika Uchaguzi uliofanyika Oktoba 27-28, 2020.

Maandamano hayo yasiyo halali wamepanga kuyafanya Tanzania Bara na Tanzania Visiwani.

Makala hii baada ya kufanya utafiti katika pande mbili za Muungano, bara na visiwani, inafafanua sababu za watanzania kutojihusisha na maandamano ya CHADEMA na ACT- Wazalendo.

Hoja ya kwanza:
Watanzania ni watu wa amani
. Hawataki kupoteza amani iliyoasisiwa na wazee wa Taifa hili chini ya Mwalimu Julius Nyerere na Mzee Abeid Amani Karume.

Hoja ya pili:
Watanzania walishiriki kupiga kura
na kuchagua washindi wa uchaguzi kwa ngazi zote za urais, udiwani na ubunge kwa hiyo hawaoni kwa nini waandamane wakati wao ndio waliowachagua washindi.

Hoja ya tatu:
Maendeleo
. Watanzania wote kwa sasa wanaendelea na shughuli zao za maendeleo na maisha ya kila siku yanaendelea vizuri na kuwafanya wapate mkate wao wa kila siku. Kwa mantiki hii maandamano hayatawalisha chakula na walishamaliza uchaguzi.

Hoja ya nne:
Watanzania kwa sasa wameshajua
kuwa CHADEMA na ACT- Wazalendo wana ajenda za kuuza rasilimali za nchi kwa mabeberu kwa hiyo hawako tayari kuuzwa nchi yao na utu wao.

Hoja ya sita:
CHADEMA na ACT- Wazalendo kukosa wagombea wenye mvuto na sera za maendeleo. Wagombea kama Babu Seif na Tundu Lissu wote ni wachumia tumbo na makuwadi wa mabeberu. Hawa sio chaguo la Watanzania.

Hoja ya saba:
Watanzania wenyewe wameamua kuchagua maendeleo sio vurugu.
Baadhi ya maendeleo hayo ni upatikanaji wa maji, umeme, barabara na mengine mengi wameshayafaidi kwenye muhula wa kwanza wa Rais Magufuli. Kwa mantiki hiyo hawahitaji majaribio ya uongozi wakati asali wameanza kuiramba.

Badala ya CHADEMA na ACT- Wazalendo kuhamasisha umwagaji damu katika taifa huru la Tanzania, watumie muda huu kujitathimini kwa nini hawakuchaguliwa na wananchi. Waache mihemko kwani damu waliyopanga kuimwaga haitawaacha salama.

View attachment 1617068
Hatutaandamana ila sio kwa sababu ya hizo sababu zako za kisengerema
 
Back
Top Bottom