Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Siamini kama una akili timamu mkuuSababu za kuandamana ndiyo huwa zinaleta mashiko kwa watu kuwaunga mkono.
Waangalizi wengi wa uchaguzi kwa Afrika Mashariki (EAC), na SADC, na hata Waangalizi wa ndani wamekiri kuwa uchaguzi ulikuwa wa huru na haki. Maraisi wengi wametoa pongezi nyingi za ushindi wa JPM.
Kwanza sijamuona wakuandamana
Kwa akili yako kulikuwa na uchaguzi huru na wa haki?Sababu za kuandamana ndiyo huwa zinaleta mashiko kwa watu kuwaunga mkono.
Waangalizi wengi wa uchaguzi kwa Afrika Mashariki (EAC), na SADC, na hata Waangalizi wa ndani wamekiri kuwa uchaguzi ulikuwa wa huru na haki. Maraisi wengi wametoa pongezi nyingi za ushindi wa JPM.
Hilo siyo suala langu, ni sula la mgombea, kama mgombea huo ushahidi anao kwanini asiende mahakamani kudai haki yake? Sasa kama mgombea analalamika amekuta kura mahali halafu anazichoma moto (Halima Mdee), then anaishia kulalamika, unategemea nini?Mbona huzungumzii utafiti juu ya ukwapuaji wa masanduku siku ya tukio pia uwepo wa karatasi zilizowekewa vyema wagombea wa chama cha mezani zilizokamatwa nje ya kituo kwenye mabegi ya watu?
Mbwembwe tu,Kwanza sijamuona wakuandamana
Siyo tu ni akili yangu, ila ni akili ya watanzania milioni 12 waliopiga kura.Kwa akili yako kulikuwa na uchaguzi huru na wa haki?
Kabisa kwa maneno mdomoni wamekuwa kama CHIRIKU ila vitendo zero kabisa mkuu.Mbwembwe tu,
Wameshaaambiwa hii ni wiki ya jeshi kusafisha njia na barabara kwa ajili ya sherehe za kuapisha kiongozi aliyechaguliwa na wananchi, lakini pia 9 december Watanzania wanasherehekea siku ya kupata Uhuru. Wasitusumbua, tumeshashinda , waendelee kutulia na wajipange tu kwa uchaguzi ujao.Kabisa kwa maneno mdomoni wamekuwa kama CHIRIKU ila vitendo zero kabisa mkuu.
Niambie maandamano ya Mange yalifikia wapi?
Pangekuwa hapakuwa na uchaguzi wa huru na haki pangekuwa na utulivu uliopo leo? Sawa mapungufu huwa hayakosekani katika nchi zote Duniani (Hata Trump leo hii analia kule Marekani kwamba ana mashaka DEMOCRATIC watamuibia kura), kila anayeelekea kushindwa haachi kutoa sababu. Wahenga walisemaga "Mfa maji haachi kutapatapa".Kwa akili yako kulikuwa na uchaguzi huru na wa haki?
CHADEMA na ACT-WAZALENDO: Hoja 7 Zinazowafanya Watanzania Wasiwe Tayari Kumwaga Damu kwa Kuandamana.
Vyama vya CHADEMA na ACT- Wazalendo vimekutana na kuwaambia waandishi wa habari eti kuanzia jumatatu wataanza maandamano yasiokuwa na kikomo kwa kile walichodai eti kuibiwa kura katika Uchaguzi uliofanyika Oktoba 27-28, 2020.
Maandamano hayo yasiyo halali wamepanga kuyafanya Tanzania Bara na Tanzania Visiwani.
Makala hii baada ya kufanya utafiti katika pande mbili za Muungano, bara na visiwani, inafafanua sababu za watanzania kutojihusisha na maandamano ya CHADEMA na ACT- Wazalendo.
Hoja ya kwanza:
Watanzania ni watu wa amani. Hawataki kupoteza amani iliyoasisiwa na wazee wa Taifa hili chini ya Mwalimu Julius Nyerere na Mzee Abeid Amani Karume.
Hoja ya pili:
Watanzania walishiriki kupiga kura na kuchagua washindi wa uchaguzi kwa ngazi zote za urais, udiwani na ubunge kwa hiyo hawaoni kwa nini waandamane wakati wao ndio waliowachagua washindi.
Hoja ya tatu:
Maendeleo. Watanzania wote kwa sasa wanaendelea na shughuli zao za maendeleo na maisha ya kila siku yanaendelea vizuri na kuwafanya wapate mkate wao wa kila siku. Kwa mantiki hii maandamano hayatawalisha chakula na walishamaliza uchaguzi.
Hoja ya nne:
Watanzania kwa sasa wameshajua kuwa CHADEMA na ACT- Wazalendo wana ajenda za kuuza rasilimali za nchi kwa mabeberu kwa hiyo hawako tayari kuuzwa nchi yao na utu wao.
Hoja ya sita:
CHADEMA na ACT- Wazalendo kukosa wagombea wenye mvuto na sera za maendeleo. Wagombea kama Babu Seif na Tundu Lissu wote ni wachumia tumbo na makuwadi wa mabeberu. Hawa sio chaguo la Watanzania.
Hoja ya saba:
Watanzania wenyewe wameamua kuchagua maendeleo sio vurugu. Baadhi ya maendeleo hayo ni upatikanaji wa maji, umeme, barabara na mengine mengi wameshayafaidi kwenye muhula wa kwanza wa Rais Magufuli. Kwa mantiki hiyo hawahitaji majaribio ya uongozi wakati asali wameanza kuiramba.
Badala ya CHADEMA na ACT- Wazalendo kuhamasisha umwagaji damu katika taifa huru la Tanzania, watumie muda huu kujitathimini kwa nini hawakuchaguliwa na wananchi. Waache mihemko kwani damu waliyopanga kuimwaga haitawaacha salama.
View attachment 1617068
Utadhani kuandamana watu wote huwa wanataka kuandama huwa inatokea mtu anaekuhusu unasikia afia kwenye maandamano utapohisi nawewe kuwa nionezi ndipo nawewe unachukua hatua tuombe mungu isitokee wapendwa wetu kufia kwenye maandamano yanaweza kupanuka nakuwa makubwa sanaCHADEMA na ACT-WAZALENDO: Hoja 7 Zinazowafanya Watanzania Wasiwe Tayari Kumwaga Damu kwa Kuandamana.
Vyama vya CHADEMA na ACT- Wazalendo vimekutana na kuwaambia waandishi wa habari eti kuanzia jumatatu wataanza maandamano yasiokuwa na kikomo kwa kile walichodai eti kuibiwa kura katika Uchaguzi uliofanyika Oktoba 27-28, 2020.
Maandamano hayo yasiyo halali wamepanga kuyafanya Tanzania Bara na Tanzania Visiwani.
Makala hii baada ya kufanya utafiti katika pande mbili za Muungano, bara na visiwani, inafafanua sababu za watanzania kutojihusisha na maandamano ya CHADEMA na ACT- Wazalendo.
Hoja ya kwanza:
Watanzania ni watu wa amani. Hawataki kupoteza amani iliyoasisiwa na wazee wa Taifa hili chini ya Mwalimu Julius Nyerere na Mzee Abeid Amani Karume.
Hoja ya pili:
Watanzania walishiriki kupiga kura na kuchagua washindi wa uchaguzi kwa ngazi zote za urais, udiwani na ubunge kwa hiyo hawaoni kwa nini waandamane wakati wao ndio waliowachagua washindi.
Hoja ya tatu:
Maendeleo. Watanzania wote kwa sasa wanaendelea na shughuli zao za maendeleo na maisha ya kila siku yanaendelea vizuri na kuwafanya wapate mkate wao wa kila siku. Kwa mantiki hii maandamano hayatawalisha chakula na walishamaliza uchaguzi.
Hoja ya nne:
Watanzania kwa sasa wameshajua kuwa CHADEMA na ACT- Wazalendo wana ajenda za kuuza rasilimali za nchi kwa mabeberu kwa hiyo hawako tayari kuuzwa nchi yao na utu wao.
Hoja ya sita:
CHADEMA na ACT- Wazalendo kukosa wagombea wenye mvuto na sera za maendeleo. Wagombea kama Babu Seif na Tundu Lissu wote ni wachumia tumbo na makuwadi wa mabeberu. Hawa sio chaguo la Watanzania.
Hoja ya saba:
Watanzania wenyewe wameamua kuchagua maendeleo sio vurugu. Baadhi ya maendeleo hayo ni upatikanaji wa maji, umeme, barabara na mengine mengi wameshayafaidi kwenye muhula wa kwanza wa Rais Magufuli. Kwa mantiki hiyo hawahitaji majaribio ya uongozi wakati asali wameanza kuiramba.
Badala ya CHADEMA na ACT- Wazalendo kuhamasisha umwagaji damu katika taifa huru la Tanzania, watumie muda huu kujitathimini kwa nini hawakuchaguliwa na wananchi. Waache mihemko kwani damu waliyopanga kuimwaga haitawaacha salama.
View attachment 1617068
UKIWAONA HAWA KATIKA MAANDAMANO, ANDAMANA!!Sijaelewa hoja yako..
Wananchi watamwaga damu hasa kutokana na nini wakati ni maandamano ya amani?
Anaewamwaga damu zao ni nani wakati wanaandamana ku-express their displeasure ya kitu fulani?
Wamwagwe damu na nani hasa maana sijajua huyo anaemwaga wanadamu innocent damu zao ni nani to begin with?
Huyo anaemwaga watu wema damu zao kwa kuandamana kwa amani bila kumwingilia yeyote ni nani to begin with?
Huyo mwaga damu za watu ndio tatizo,na wala tatizo sio wananchi wanaotumia fursa na haki yao kikatiba kuonesha kutoridhishwa na mambo fulani wanayofanyiwa!
Wananchi hawa:
-Sio wahalifu
-Sio wanyang'anyi
-Sio terrorists
-Sio majambazi
-Sio mafisadi
-etc
Hawana kosa lolote lile...sasa sijui huyo anaewamwaga damu zao uhalali huo anaupata wapi na kwa kosa lipi?Anaefanya kosa hauwawi,anashikwa na kupelekwa mahakamani..hii hoja ya kuwamwaga damu zao kwanza inatakiwa isiwepo kabisa....
With that only kuna tatizo mnalo tena kubwa sana....serikali ni always aggressor,na ni always killer of its own innocent citizens,and never the citizens!
Sasa,sema hivi,serikali ndio ITAUA wananchi wake wasio na kosa lolote!
Tatizo ni serikali na sio wananchi hata siku moja!
Mahakama zipi unazozungumzia hizo! Huoni aibu, ina maana utafiti wako haukuhusisha zile video zilizotrend mtandaoni ambapo napo mlijaribu kuzima ilhali yasemwa bwana mfalme anakubalika, hukuona mawakala kuzuiliwa vituoni na wengine kutekwa! Pia kwa awamu hii mihimili yote mitatu inakaliwa na mtu mmoja ! Na sasa ni siasa rasmi za chama kimoja hakuna "checks and balances" nani wa kumuhoji mfalme na kumkosoa akivuka mipaka?Hilo siyo suala langu, ni sula la mgombea, kama mgombea huo ushahidi anao kwanini asiende mahakamani kudai haki yake? Sasa kama mgombea analalamika amekuta kura mahali halafu anazichoma moto (Halima Mdee), then anaishia kulalamika, unategemea nini?
Waliwahi kuandamana wakati fulani, ikapelekea kupigwa risasi kwa Mwanafunzi wa NIT na akafa.Sijaelewa hoja yako..
Wananchi watamwaga damu hasa kutokana na nini wakati ni maandamano ya amani?
Anaewamwaga damu zao ni nani wakati wanaandamana ku-express their displeasure ya kitu fulani?
Wamwagwe damu na nani hasa maana sijajua huyo anaemwaga wanadamu innocent damu zao ni nani to begin with?
Huyo anaemwaga watu wema damu zao kwa kuandamana kwa amani bila kumwingilia yeyote ni nani to begin with?
Huyo mwaga damu za watu ndio tatizo,na wala tatizo sio wananchi wanaotumia fursa na haki yao kikatiba kuonesha kutoridhishwa na mambo fulani wanayofanyiwa!
Wananchi hawa:
-Sio wahalifu
-Sio wanyang'anyi
-Sio terrorists
-Sio majambazi
-Sio mafisadi
-etc
Hawana kosa lolote lile...sasa sijui huyo anaewamwaga damu zao uhalali huo anaupata wapi na kwa kosa lipi?Anaefanya kosa hauwawi,anashikwa na kupelekwa mahakamani..hii hoja ya kuwamwaga damu zao kwanza inatakiwa isiwepo kabisa....
With that only kuna tatizo mnalo tena kubwa sana....serikali ni always aggressor,na ni always killer of its own innocent citizens,and never the citizens!
Sasa,sema hivi,serikali ndio ITAUA wananchi wake wasio na kosa lolote!
Tatizo ni serikali na sio wananchi hata siku moja!
Sasa kama hawezi kuandamana na mtoto wake barabarani kwa nini aje kuhamasisha watoto na vijana wa wengine waende kuandamana?Bro
Acha kutupangia watu wa kuandamana..
Hao ni watu binafsi wenye utashi wao binafsi..Mbowe hawezi lazimisha mtu binafsi Dudley aandamane..Kila mtu ana imani yake
Imani ya Mbowe sio lazima iwe imani ya Dudley..hawa ni watu wawili tofauti wenye utashi toafauti na imani tofauti but it happens wana uhusiano wa kifamilia
Yaani una hoja za kipumbavu mno....yaani hawa watu wazima binafsi unataka mmoja alazimishe mwingine aandamane na yeye hata kama beliefs zake ni tofauti na mwenzake sababu tu eti mmoja ni baba au mama au mjomba wa mwenzake?
Mataga mna reasoning ya hovyo mno!
Mbowe ni Chadema ila Dudley anaweza kua CCM au ACT,etc..,.huwezi pangia mtu binafsi what to believe in!
Yeye Mbowe na mimi na yule tunaamini ndani ya Demokrasia na tunaona heri tufe kwa kuandamana na kuipigania,ni imani yetu ila hatuwezi wasukumizia ndugu zetu huenda wakawa na imani tofauti na sisi!
Sasa analogy yako ni ugoro juu ya ugoro kabisa!
Kila mwenye imani na demokrasia in his or her concious ataandamana,halazimishwi mtu aamini tunachoamini...ebo!
Suala la upinzani kushindwa ni uzembe wao, walitakiwa kujipanga vya kutosha maana serikali ya awamu ya tano kwa sehemu kubwa imefanya vitu vizuri ambavyo kwa sehemu kubwa vimegusa mioyo ya watu. Hoja za wapinzani ilikuwa ni ufisadi, leo hii suala la ufisadi lipo kwa % chache sana. Sualala umeme na maji vimetatu;iwa kwa sehemu kubwa, sula la barabara za lami limezidi kutatuliwa, suala la mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu bajeti imeongezeka, wanafunzi wa shule ya msingi mpaka sekondari wanalipiwa na serikali (Serikali inalipa kwa mwezi bilioni 30, na kwa mwaka trilioni 1). Bajeti ya afya imepanda kutoka bilioni 30 mpaka bilioni 370 kwa mwaka, ulinzi na usalama umeongezeka, na mengine mengi...Mahakama zipi unazozungumzia hizo! Huoni aibu, ina maana utafiti wako haukuhusisha zile video zilizotrend mtandaoni ambapo napo mlijaribu kuzima ilhali yasemwa bwana mfalme anakubalika, hukuona mawakala kuzuiliwa vituoni na wengine kutekwa! Pia kwa awamu hii mihimili yote mitatu inakaliwa na mtu mmoja ! Na sasa ni siasa rasmi za chama kimoja hakuna "checks and balances" nani wa kumuhoji mfalme na kumkosoa akivuka mipaka?
Aisee! hujakatazwa kuingia barabarani, siyo mbali, ni kesho tu tarehe 2 jumatatu, just go go go!Siandamani kwa sababu Zitto kakosa ubunge!
You get all this wrong you lunatic!
Nimeshuhudia wizi wa kura kwa macho yangu....nina conviction ndani ya moyo wangu kua tukienda hivi demokrasia yetu inakufa na sisi kama watu tutakua tuna cease to exist morally..
Ni jukumu langu kuandamana just because of this!
Hao wote wamenyang'anywa ubunge wao kwa kuibiwa kura zao,ushahidi upo wazi na mimi binafsi nimeushuhudia
Wao wanajua jinsi ya kupata ubunge zao through mahakama,etc....ila mimi sina interest na hayo ya ubunge,etc..mimi naandamana sababu moyo wangu umeshuhudia nonsenses za ajabu kabisa!
Tunaandamana,tunauwawa sisi,wewe unapaniki nini aiseee?
Wewe kaa nyumbani kula maisha yako,sijajua unapaniki nini na sisi hasa!
Swa ndugu, wewe mwenye akili timamu nenda kaandamane, kwani umekatazwa?Siamini kama una akili timamu mkuu
Utakuwa na minyoo weweSwa ndugu, wewe mwenye akili timamu nenda kaandamane, kwani umekatazwa?
Hatutaandamana ila sio kwa sababu ya hizo sababu zako za kisengeremaCHADEMA na ACT-WAZALENDO: Hoja 7 Zinazowafanya Watanzania Wasiwe Tayari Kumwaga Damu kwa Kuandamana.