Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo: Hoja saba zinazowafanya Watanzania wasiwe tayari kumwaga damu kwa maandamano

unatumia vpn kumtetea aliekufungia internet
 
Hao waliofata madem bongo unawaita waangalizi?
 
Umesahau kuandika hoja ya tano.
 
Kuandamana ni haki ya kikatiba sheria za nchi zinaruhusu na ni haki ya binadamu hata sheria zisingeruhusu, mbona mwalimu Nyerere aliandamana kutoka Butiama hadi Mwanza whatever, na tulikuwa tunalazimishwa kuandamana kupinga utawala wa Apartheid makaburu South Africa. Shida ya CCM hamtaki watu wawakosoe au watoe maoni tofauti na ya kwenu hamna political tolerance, mnaona aibu watu wakitoka barabarani kwa mamilioni wkt mkidai wapinzani wenu wamepata kura chache. Mnatumia nguvu ukatili kutisha watu wasitoe maoni yao.
 
Wamwagaji damu ni CCM kwa kulitumia jeshi la polisi kwa maslahi yao ya kisiasa. Wakiandamana Ccm ni matembezi ya mshikamano au ya hiyari hawaguswi, wakiandamana vyama vingine itaitwa fujo na washiriki watatawanywa kwa mabomu, virungu, mateke, ngumi,risasi,nk nk shida CCM haitaki kukosolewa wamejifananisha na Mungu, kumkosoa ni dhambi/jinai.
 

Attachments

  • Cn8i-ljWIAAXmvX.jpg
    30.8 KB · Views: 2
Maandamano ni haki ya chama cha CCM tu wengine hawana haki, na maandamano ni kwa ajili ya kusifia na kupongeza chama cha CCM tu na viongozi wake, siyo kukosoa ukikosoa unaleta fujo unachochea umwagaji damu na umetumwa na mabeberu.
 

Attachments

  • Screenshot_2020-11-17-20-22-27-1.png
    131.7 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…